Sababu ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti wa kizazi kipya hii hapa (based on research)

kacnia

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
4,024
Reaction score
15,796
Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo,
Refer
Screenshot_20210816-095311.jpg
hi

Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia video chafu kama kielelezo, matokeo yake hata miitikio wakati wa tendo imekuwa ikiendana sana na yale wanayotazama, katika mazungumzo yangu na mzee mmoja (jina limehifadhiwa) alisema "siku hiyo alikuta nimejiandaa kweli kweli, kuna wakati alizidiwa akanikumbatia kwa nguvu mpaka nikakosa pumzi" pia nilipozungumza na wengine nao kwa vipindi tofauti tofauti walikiri kukutana na hali kama hiyo, hivyo nikagundua kuwa hawa wazee 75+ huwa wanakutana na roba za mbao huko sirini zinazopelekea wao kukosa pumzi hivyo kufariki.

Ushauri wangu kwa wazee: mnapokula mafao muwe makini na maandalizi yenu yasiwe ya kupitiliza, mfano madawa ya kuongeza nguvu ilimradi umridhishe binti wa watu, anakuja anaridhika anakukaba unakufa.

Mabinti: mnapokuwa na wazee wetu muwe mnawahurumia, hizi habari za kung'ang'ania wazee muache, wanaoweza kuvumilia vituko vyenu (kung'ata meno, roba za mbao kutetemeka kama simu) ni vijana wenzenu.

Fainali uzeeni ila wazee wenyewe wanakabwa sana.

Nawakilisha
 
Wacha wachezee roba tu
 
Ntarudi badae manake weekend haijaenda powa bei za vifurushi/tozo haijabadilika pia timu penda emefungwaa
Hawa majamaa wa vifurushi walikuwa na Nia ya kuongeza Bei au kupunguza ?
 
Utafiti uliofanya umefanyika wapi,lini, ukubwa wa sampuli pamoja na aina ya hojaji ulilotumia maana naona ume conclude kirahisi Sana majibu
 
Ingekua kwa ugumu we unge conclude vipi?
 
Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo,

Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia video chafu kama kielelezo, matokeo yake hata miitikio wakati wa tendo imekuwa ikiendana sana na yale wanayotazama, katika mazungumzo yangu na mzee mmoja (jina limehifadhiwa) alisema "siku hiyo alikuta nimejiandaa kweli kweli, kuna wakati alizidiwa akanikumbatia kwa nguvu mpaka nikakosa pumzi" pia nilipozungumza na wengine nao kwa vipindi tofauti tofauti walikiri kukutana na hali kama hiyo, hivyo nikagundua kuwa hawa wazee 75+ huwa wanakutana na roba za mbao huko sirini zinazopelekea wao kukosa pumzi hivyo kufariki.

Ushauri wangu kwa wazee: mnapokula mafao muwe makini na maandalizi yenu yasiwe ya kupitiliza, mfano madawa ya kuongeza nguvu ilimradi umridhishe binti wa watu, anakuja anaridhika anakukaba unakufa.

Mabinti: mnapokuwa na wazee wetu muwe mnawahurumia, hizi habari za kung'ang'ania wazee muache, wanaoweza kuvumilia vituko vyenu (kung'ata meno, roba za mbao kutetemeka kama simu) ni vijana wenzenu.

Fainali uzeeni ila wazee wenyewe wanakabwa sana.

Nawakilisha
Nawatetea hao Wanawake tena kwa 100% kwani Wao huwa hawawafuati hao Wazee bali ni Umalaya na Tamaa za hao Wazee ndiyo huwatuma Kwao na wakiwa Wanakufa Viunoni ni jambo jema ili wengine wajifunze na waliojikita katika Biashara za Kuuza Majeneza wazidi kupata Soko kwani Waswahili tunasema Kufa Kufaana.
 
Wewe mtoa mada acha kutupangia maisha na huu utafiti wako wa Ki Jah people! Kufa kupo tu. Na kwa taarifa yako, hakuna kifo kitamu kama hicho cha kufia juu ya chuchu saa sita!!
 
Wewe mtoa mada acha kutupangia maisha na huu utafiti wako wa Ki Jah people! Kufa kupo tu. Na kwa taarifa yako, hakuna kifo kitamu kama hicho¿ cha kufia juu ya chuchu saa sita!l
Haile man, utafiti wa kina huo
 
Back
Top Bottom