Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini
Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa maandamano ya hadharani, bado ikakubali kuzuia dhamana yake, huu ulikuwa uamuzi wa kupigiwa simu kutoka juu kama alivyowahi kusema Rostam Aziz
Baada ya kugundua makosa yao kwenye pingamizi lao la kuomba Mahakama iamuru Bonny Dongo awape polisi Password ya mitandao yake, walipojua wataangukia pua wakaliondoa, na kuleta ombi la uongo wa wazi eti kwamba Bonny amemuomba RCO wa Kinondoni eti aendelee kubaki selo ili kulinda usalama wake.
Hakika wanaoidharau Mahakama ya Tanzania wasipuuzwe, inatumika kijinga sana!
Soma Pia: