Sababu za Boniface Jackob kunyimwa Dhamana zinazidisha hoja ya Wanaoidharau Mahakakama ya Tanzania, Inatumika kijinga sana!

Wanapanda chuki kubwa sana na kufanya mahakama idharaulike, Ndio maana majaji Wetu hawawezi kutumika nje ya Nchi, wanaonekana kama Wana CCM Tu. Huu ni upumbavu wa Hali ya juu Sana
Majaji wanatumika sana tu nje ya nchi na anga za kimataifa
 
Kumbuka kuwa Mwendazake aliwahi kusema Serikali ndio muhimili wenye mizizi iliyojichimbia sana (mirefu) na ndio muhimili unaotoa fedha na kugawia mihimili mingine Bunge na Mahakama

Maana yake nini? Kwamba Serikali ikitaka jambo lake kutoka mihimili mingine hawawezi kukwamisha

Mahakama wa Bunge hawana ubavu wa kuitunshia musuri Serikali ikitaka jambo lake umuhimu wa katiba mpya unakuja hapo ili kuipa sheria zinaipa nguvu na mamlaka mihimili mingine isiingiliwe na Serikali

Ndio maana mihimili mingine haiko huru haina meno inaburuzwa na Muhimili wenye mizizi mirefu by Magu hapo pengine Serikali inataka tu kukomoa Boniface

Hili jina la Boni Yai asili yake nini? Nauliza tu lakini nipate jibu ingawa sio kwa umuhimu
 
Kwa hiyo wewe kwa akili yako unataka wakukaya atoke aje uraiani wakati ameshasema anaomba aendelee kubaki ndani kwa usalama wake? Bila shaka itakuwa ni wale wapinzani wake kwenye Uwenyekiti wa kanda
 
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini

Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa maandamano ya hadharani, bado ikakubali kuzuia dhamana yake, huu ulikuwa uamuzi wa kupigiwa simu kutoka juu kama alivyowahi kusema Rostam Aziz

Baada ya kugundua makosa yao kwenye pingamizi lao la kuomba Mahakama iamuru Bonny Dongo awape polisi Password ya mitandao yake, walipojua wataangukia pua wakaliondoa, na kuleta ombi la uongo wa wazi eti kwamba Bonny amemuomba RCO wa Kinondoni eti aendelee kubaki selo ili kulinda usalama wake.

Hakika wanaoidharau Mahakama ya Tanzania wasipuuzwe, inatumika kijinga sana!

Soma Pia:
Huwa unachekesha
 
Tuwache sheria ifate mkondo wake.

Mmeishiwa mitaani na sasa mnaishiwa mahakamani.
 
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini

Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa maandamano ya hadharani, bado ikakubali kuzuia dhamana yake, huu ulikuwa uamuzi wa kupigiwa simu kutoka juu kama alivyowahi kusema Rostam Aziz

Baada ya kugundua makosa yao kwenye pingamizi lao la kuomba Mahakama iamuru Bonny Dongo awape polisi Password ya mitandao yake, walipojua wataangukia pua wakaliondoa, na kuleta ombi la uongo wa wazi eti kwamba Bonny amemuomba RCO wa Kinondoni eti aendelee kubaki selo ili kulinda usalama wake.

Hakika wanaoidharau Mahakama ya Tanzania wasipuuzwe, inatumika kijinga sana!

Soma Pia:
 
Attachments

  • IMG-20240926-WA0053.jpg
    IMG-20240926-WA0053.jpg
    145 KB · Views: 1

Kama wao polisi ndio kazi Yao ya kulinda watu na Mali zao si ndio wamlinde Sasa kama wamejua Hilo!
 
Back
Top Bottom