Majaji wanatumika sana tu nje ya nchi na anga za kimataifaWanapanda chuki kubwa sana na kufanya mahakama idharaulike, Ndio maana majaji Wetu hawawezi kutumika nje ya Nchi, wanaonekana kama Wana CCM Tu. Huu ni upumbavu wa Hali ya juu Sana
Kumbe uko nje ya nchi?Sisi tunaokuwa nje ya Nchi tunachekwa sana!
Kama Nani?Mauaji wanatumika sana tu nje ya nchi na anga za kimataifa
Jaji Chande alishaongoza global entity for some yearsKama Nani?
Nazungumzia recently ila ni huyo tuJaji Chande alishaongoza global entity for some years
Huwa unachekeshaTukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini
Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa maandamano ya hadharani, bado ikakubali kuzuia dhamana yake, huu ulikuwa uamuzi wa kupigiwa simu kutoka juu kama alivyowahi kusema Rostam Aziz
Baada ya kugundua makosa yao kwenye pingamizi lao la kuomba Mahakama iamuru Bonny Dongo awape polisi Password ya mitandao yake, walipojua wataangukia pua wakaliondoa, na kuleta ombi la uongo wa wazi eti kwamba Bonny amemuomba RCO wa Kinondoni eti aendelee kubaki selo ili kulinda usalama wake.
Hakika wanaoidharau Mahakama ya Tanzania wasipuuzwe, inatumika kijinga sana!
Soma Pia:
Kwamba tukiwa nje ndio tuache ujinga uendelee Nchini mwetu?Kumbe uko nje ya nchi?
Halafu unashabikia walio bongo tuandamane
We kende kweli
Uongo ni nini?Kipindi anaandika taarifa za uongo ukimuona mwache apate joto kwanza akili ikawe sawa
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini
Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa maandamano ya hadharani, bado ikakubali kuzuia dhamana yake, huu ulikuwa uamuzi wa kupigiwa simu kutoka juu kama alivyowahi kusema Rostam Aziz
Baada ya kugundua makosa yao kwenye pingamizi lao la kuomba Mahakama iamuru Bonny Dongo awape polisi Password ya mitandao yake, walipojua wataangukia pua wakaliondoa, na kuleta ombi la uongo wa wazi eti kwamba Bonny amemuomba RCO wa Kinondoni eti aendelee kubaki selo ili kulinda usalama wake.
Hakika wanaoidharau Mahakama ya Tanzania wasipuuzwe, inatumika kijinga sana!
Soma Pia:
Mje tufanye ujinga wa maandamano pamojaKwamba tukiwa nje ndio tuache ujinga uendelee Nchini mwetu?
CCM hawatakubali maana itaenda kuwaondoaKatiba mpya
Ni huyu mzanzibarNi akina nani wanaotaka kutugawa?
Kama wao polisi ndio kazi Yao ya kulinda watu na Mali zao si ndio wamlinde Sasa kama wamejua Hilo!Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini
Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa maandamano ya hadharani, bado ikakubali kuzuia dhamana yake, huu ulikuwa uamuzi wa kupigiwa simu kutoka juu kama alivyowahi kusema Rostam Aziz
Baada ya kugundua makosa yao kwenye pingamizi lao la kuomba Mahakama iamuru Bonny Dongo awape polisi Password ya mitandao yake, walipojua wataangukia pua wakaliondoa, na kuleta ombi la uongo wa wazi eti kwamba Bonny amemuomba RCO wa Kinondoni eti aendelee kubaki selo ili kulinda usalama wake.
Hakika wanaoidharau Mahakama ya Tanzania wasipuuzwe, inatumika kijinga sana!
Soma Pia:
Mbona wewe una mav.zi mengi uko huruMwache apunguzwe mashavu yale. Anavimba sana.
Yuko nje ya nchi wapi huyo mimi namjua huyo vizuri tu.Kumbe uko nje ya nchi?