Sababu za Boniface Jackob kunyimwa Dhamana zinazidisha hoja ya Wanaoidharau Mahakakama ya Tanzania, Inatumika kijinga sana!

Vipi na leo kanyimwa dhamana? Safi sana atakula jeuri yake!
Ukizeeka utakuwa mchawi wa kuogopwa. Na huenda ulipo una chale nyingi sana kwenye mwili wako. Ndo maisha ya wanaccm wengi hasa makatibu wa jumuia za ccm. Uwanga uwanga tu.
 
Ukizeeka utakuwa mchawi wa kuogopwa. Na huenda ulipo una chale nyingi sana kwenye mwili wako. Ndo maisha ya wanaccm wengi hasa makatibu wa jumuia za ccm. Uwanga uwanga tu.
Kwani uchawi si ni utaalamu wa hali ya juu!? Au wewe unafikiria utaalamu wa kizungu tu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…