1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025.
Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm.
2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea bora kila eneo,uratibu mzuri wa kampeni kuanzia ngazi ya shina hadi taifa ulisaidia kufanikisha ushindi.
3. Migogoro ndani ya vyama vya upinzani. Migawanyiko na maandalizi duni ya vyama vya upinzani hususani chadema kilichangia,vyama vingi vya upinzani pia vilishindwa kuweka wagombea katika nafasi zote.
4. Kusimama kwa shughuli za kisiasa kwa muda wa miaka 6.
Kabla ya Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu shughuli za kisiasa kama mikutano ya hadhara,vyama vya upinzani vilikuwa havina fursa vya kufanya siasa jambo ambalo liliwapunguzia umarufu kwa wananchi.
5. Uwepo wa rasilimali na miundombinu wezeshi ya kutosha kwa chama cha mapinduzi.
ccm ilitumia vizuri rasilimali zake na mtandao wa chama ulioenea nchi nzima,jambo lililoweza kufanikisha kampeni zake katika maeneo mbalimbali.
6. Usimamizi bora wa uchaguzi na uratibu wa chama.
ccm ilitumia mbinu ya kisayansi ikiwa ni pamoja na kutumia viongozi wake wa juu wa chama katika uzinduzi na kufunga kampeni. hii iliimarisha uungwaji mkono wa ccm katika ngazi ya chama.
7. Udhaifu wa wapinzani katika maandalizi na usimamizi wa wagombea.
Vyama vya upinzani vilikuwa na changamoto ya kusimamisha wagombea katika maeneo yote,ccm pekee ndiyo ilifanikiwa kusimamisha wagombea katika nafasi zote.
8. Kuengulia kwa baadhi ya wagombea wa upinzani katika kinyang'anyiro.
Baadhi ya wanachama wa vyama vya upinzani walienguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi,hii ilitokana na madai ya kutojaza vizuri taarifa zao,swala hili lilipelekea pia ccm kushinda kwa kishindo.
9. Changamoto za uchaguzi na madai ya udanganyifu, kumekuwa na madai yasiyokuwa na ushahidi wa kutosha,(ushahidi finyu)kuwa ccm ilifanya udanganyifu wakati wa uchaguzi.Hata hivyo ccm imekanusha madai hayo ikidai ushindi wao ulikuwa halali na ulitokana na maandalizi bora.
10. Imani ya watanzania kwa Rais aliyopo madarakani.Watanzania walio wengi wana imani kubwa na Rais Samia Suluhu Hasani,hii imetokana na kazi njema za kimaendeleo zinazofanywa chini ya uongozi wake