Sababu za CCM kutoanguka tangu Uhuru hadi sasa

Naunga mkono hoja
 
Kwani unailinganisha serikali ya CCM na serikali gani nyingine iliyowahi kuwepo Tanzania? unaposema haina ubaguzi mkubwa kwa wananchi, ni serikali gani imewahi kuwa na ubaguza kwa wananchi Tanzania?
CCM ni wabuguzi sn, angalia issue za ajira, elimu, teuzi n.k
 
CCM wamechimba kisima wapi? labda walimchimbia mumeo
 
CCM ni chama cha ukombozi, na vyama vingi vilivyopigania Uhuru wa nchi zao havipo tena madarakani lakini CCM bado ipo tu.
Yafuatayo ni baadhi ya michango iliyosababisha CCM iendelee kubaki madarakani:
3, 5, na 6 ndio zenyewe.
Nyingine ni kama video isemavyo.

 
Bila kuwa shabiki wa chama chochote bado sioni mbadala wa CCM kwa miaka mingi mbele.
 
Uko sahihi kabisa kwa asilimia 100.

Na kingine naongezea ambacho Ni muhimu zaidi Ni:

1. Nyerere kufuta kadri ya uwezo wake UKABILA.

2. Kujitahidi kupambania kupunguza au kudhibiti UDINI.

Hakuna kitu kinachounganisha watu kama MAKABILA na DINI.

MAKABILA chini ya UCHIEF.

Na DINI.

Nchi zote ambazo raia wake huwa wanaambana lazima huwa wanna kitu kinachounganisha, aidha DINI au KABILA.

Hasa nchi zenye makabila machache.

Tanzania Ni ngumu kuwaunganisha wasukuma, eti wake mbele kuandamana mpaka wapigwe risasi kwasababu ya mchagga Mbowe.

Huu Ni ukweli mchungu.

Mwisho kabisa, ukiachana na Hilo la CCM kuwahusisha wanajeshi kwenye serikali, vile vile CCM bado inayakumbatia makundi yote ya kijamii ambayo kiuhalisia yalisaidia sana lwenye harakati za Uhuru.

Makundi hayo Ni kama Vyama vya wafanyakazi, Wanawake, vijana, Viongozi wa dini, Wazee, Viongozi wa kimila, vyuo vikuu n.k
 
1: Huge resources
A. Money
B. Military
2. Poor citizens
3. Stupid propaganda machine
4. Poor education or no education
5. Witchcraft/machete rulling style
6. 90% CCM candidate they don't have good education qualification. They use no. 1, 3, and 5
7. Opposition parties are not trusted, are not seen as viable alternative to the dominant rulling rulling party
8. No watchdog role.
 
Hebu fanya tafiti ndogo sehemu hizi ambazo ni wapiga kura wa 2025.

Vyuo vikuu
Vyuo vya kati
Machinga..

Afu urudi na majibu sahihi hapa. Na mhimu zaidi nenda kawaulize walimu juu ya chaguzi za 2015&2020.
 
Hebu fanya tafiti ndogo sehemu hizi ambazo ni wapiga kura wa 2025.

Vyuo vikuu
Vyuo vya kati
Machinga..

Afu urudi na majibu sahihi hapa. Na mhimu zaidi nenda kawaulize walimu juu ya chaguzi za 2015&2020.
Matokeo yanapatika kabla Mwenyekiti wa tume hajateuliwa
 
CCM ni haipo isipokuwa ni dola ipo
 
Umekuja kuharibu hapa
 
CCM ilianguka Zanzibar 2015 kwa dhahiri, akaitwa Jecha wakaandika historia..
Hata Bara pia waliangukia pua..
October 28, 2020 bila Kura za mabegi meusi ilikuwa chali mapema asubuhi
 
Sababu ni moja tu, CCM inakumbatia maslahi ya mabeberu hivyo mabeberu hawana haja ya kuubomoa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…