Sababu za choo kurudisha harufu ndani

Sababu za choo kurudisha harufu ndani

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
881
Reaction score
1,537
Habari ndugu zangu wa JF..Leo tuzungumzie sababu za harufu chafu ya choo kurudi ndani asa katika vyoo vya kuchuchumaa au Asian type..zifuatazo ni sababu za harufu chafu kurudi ndani..

1.Trap kutoboka (leakage)hii upelekea maji kupotea hii yanayo patikakana ndani ya trap (Water seal) ambayo uzuia harufu kurudi ndani ya nyumba haya ni maji ambayo umwaga baada ya kujisaidia kiasi flani ubaki kuzuia harufu..

Kuto kuseti vizuri trap hii upelekea maji kupungua na hivyo kushindwa kuzuia harufu kurudi ndani..

2..Flush cistern tank size za vyoo zimetofautiana endapo utaweka choo cha size ndogo pia flush tank pia weka dogo la kawaida hili ziendane katika kasi ya maji kusafisha kinyesi..ukiweka choo ambacho ni kikubwa weka flush cistern kubwa ziendane endapo choo kitakuwa kidogo ukaweka flush tank kubwa hii itasababisha maji yatoke kwa kasi na kusababisha maji ya baki kidogo sana kwenye trap..

3.kuto tumika choo kwa mda mrefu hii usababisha yale maji kwenye trap kupungua kwa njia ya enyevu nyevu...Kama una swali uliza...
FB_IMG_16465484885391143.jpg
 
Sina hamu ata kukaa ghetto yaani. Harufu kali sana.
Hapo ita fundi angalie tatizo nini pia angalia kama maji katika tundu la choo kama yapo ya kutosha kama hakuna basi pana itaji malekebisho kuondoa hiyo halafu
 
Nilikuwa na shida hiyo. Nikagundua P-Tap ilikuwa imetegeshwa vibaya.

Lakini pia kulikuwa na bomba la futi Tano Kati ya choo na P-Tap.. hili lilikiwa halisafishiki vizuri. Harufu ikawa inarudi ndani.
 
Niliwahi kuuliza hili swali humu kuna members wakanishambulia nikajihisi mkosaji, mpaka nikahofia kupigwa ban kumbe wengi wanahitaji hii elimu
 
Habari ndugu zangu wa JF..Leo tuzungumzie sababu za harufu chafu ya choo kurudi ndani asa katika vyoo vya kuchuchumaa au Asian type..zifuatazo ni sababu za harufu chafu kurudi ndani..

1.Trap kutoboka (leakage)hii upelekea maji kupotea hii yanayo patikakana ndani ya trap (Water seal) ambayo uzuia harufu kurudi ndani ya nyumba haya ni maji ambayo umwaga baada ya kujisaidia kiasi flani ubaki kuzuia harufu..

Kuto kuseti vizuri trap hii upelekea maji kupungua na hivyo kushindwa kuzuia harufu kurudi ndani..

2..Flush cistern tank size za vyoo zimetofautiana endapo utaweka choo cha size ndogo pia flush tank pia weka dogo la kawaida hili ziendane katika kasi ya maji kusafisha kinyesi..ukiweka choo ambacho ni kikubwa weka flush cistern kubwa ziendane endapo choo kitakuwa kidogo ukaweka flush tank kubwa hii itasababisha maji yatoke kwa kasi na kusababisha maji ya baki kidogo sana kwenye trap..

3.kuto tumika choo kwa mda mrefu hii usababisha yale maji kwenye trap kupungua kwa njia ya enyevu nyevu...Kama una swali uliza...View attachment 2140815
Umenifahamisha vizuri,kiko choo hakitumiki sana,ndio kiko hivi.Kumbe kinasababishwa na kutotumika mda mrefu.
 
Mala nyingi tuna kutana na wateja ambao Wana sumuliwa na hii hali....

Kuna nyumba nilikuta hili tatizo.. Kilicho sababisha pale ni drainage system alio weka fund akiunganisha Bomba zote yaani Besen la kunawia +maji ya kuoga akaunga kwenye Bomba la soil (Choo)..

Kilicho tokea hakuweka trap pale kwenye floor na pia kwenye Besen hakukuwa na trap harufu iliyo kuwa una toka choon ikawa ime tamalaki humo ndani.

Hii ufanywa na mafundi either kwa makosa au kuto kujua mana Kuna mafund wengi wa kuunga Unga
 
Safi sana.Ukitoka sehemu yenye mazingira ya kutumia maji mengi chooni ukaenda kwenye uhaba wa maji ni changamoto.
 
Nilikuwa na shida hiyo. Nikagundua P-Tap ilikuwa imetegeshwa vibaya.

Lakini pia kulikuwa na bomba la futi Tano Kati ya choo na P-Tap.. hili lilikiwa halisafishiki vizuri. Harufu ikawa inarudi ndani.
Baadhi ya mafundi ufanya bora liende awazingatii kanuni na ubora wa kazi
 
Niliwahi kuuliza hili swali humu kuna members wakanishambulia nikajihisi mkosaji, mpaka nikahofia kupigwa ban kumbe wengi wanahitaji hii elimu
Pole mkuu hili tatizo la harufu kurudi ndani ni tatizo sugu
 
Mala nyingi tuna kutana na wateja ambao Wana sumuliwa na hii hali....

Kuna nyumba nilikuta hili tatizo.. Kilicho sababisha pale ni drainage system alio weka fund akiunganisha Bomba zote yaani Besen la kunawia +maji ya kuoga akaunga kwenye Bomba la soil (Choo)..

Kilicho tokea hakuweka trap pale kwenye floor na pia kwenye Besen hakukuwa na trap harufu iliyo kuwa una toka choon ikawa ime tamalaki humo ndani.

Hii ufanywa na mafundi either kwa makosa au kuto kujua mana Kuna mafund wengi wa kuunga Unga
Pia mwenyewe nime kutana nalo sana hili linatokana na sisi baadhi ya mafundi kuto zingatia ufanisi na ubora wa kazi
 
Back
Top Bottom