plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
Habari ndugu zangu wa JF..Leo tuzungumzie sababu za harufu chafu ya choo kurudi ndani asa katika vyoo vya kuchuchumaa au Asian type..zifuatazo ni sababu za harufu chafu kurudi ndani..
1.Trap kutoboka (leakage)hii upelekea maji kupotea hii yanayo patikakana ndani ya trap (Water seal) ambayo uzuia harufu kurudi ndani ya nyumba haya ni maji ambayo umwaga baada ya kujisaidia kiasi flani ubaki kuzuia harufu..
Kuto kuseti vizuri trap hii upelekea maji kupungua na hivyo kushindwa kuzuia harufu kurudi ndani..
2..Flush cistern tank size za vyoo zimetofautiana endapo utaweka choo cha size ndogo pia flush tank pia weka dogo la kawaida hili ziendane katika kasi ya maji kusafisha kinyesi..ukiweka choo ambacho ni kikubwa weka flush cistern kubwa ziendane endapo choo kitakuwa kidogo ukaweka flush tank kubwa hii itasababisha maji yatoke kwa kasi na kusababisha maji ya baki kidogo sana kwenye trap..
3.kuto tumika choo kwa mda mrefu hii usababisha yale maji kwenye trap kupungua kwa njia ya enyevu nyevu...Kama una swali uliza...