Sababu za Diamond Platnumz kutumia itel A37 hizi hapa

Sababu za Diamond Platnumz kutumia itel A37 hizi hapa

wachina hawajawahi kumuacha mtu salama yaani huu utopolo ndio mnaaminishwa ni simu kisa nasibu kaamua kuchukua hela na kuwatangazia matangazo yao, hahaaa hapana BIG NO HAKUNA SIMU HAPO
 
Weka na bei niangalie uwezekano Wa kuachana na haka Katecno kangu..

Maana kamezidi kuniumbua, juzi Niko namtongoza demu kenyewe mfukoni kameshajitoa lock, kamesachi namba na kameshampigia Mama Mkwe bila Mimi kujua.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daah we jamaa muongo balaa[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X620B using JamiiForums mobile app
 
Biashara matangazo
Haya sasa mmeambiwa mondi anatumia itel na nyie muanze kutumia

Ova
 
Ata mumpe Drake ubalozi hii simu ni Galasa natumia A56 mpyaa lakini ukirestart au kuzima ukiwasha itachukua kama dakk 10 kuwaka tu sim camera ni vumbi tupu yaaani amna simu apa
 
Diamond atumie hiyo simu? labda diamond karanga sio mtoto wa mzee nyange..
 
Acha kudanganya watu haitumii cm hioyeye kaitangaza tuh.na sio bizaa hio tuh katangaza nyingi hio ni kazi .yaani msanii number moja atumie ka itel cha laki mbili kweli
 
Back
Top Bottom