Itel na tecno ni mapacha watoto wa baba na mama mmojaWeka na bei niangalie uwezekano Wa kuachana na haka Katecno kangu..
Maana kamezidi kuniumbua, juzi Niko namtongoza demu kenyewe mfukoni kameshajitoa lock, kamesachi namba na kameshampigia Mama Mkwe bila Mimi kujua.
Shida sio kutumia shida ni hizi mbwembwe mingi wakati tunajua ubora wa hizo simuWatu mnaponda wengine kutumia tecno, wakati mnajua hali halisi ya watanzania au wengine uchumi wenu mzuri? , mimi natumia cammon 11,mwaka wa tatu iko poa tu au mnataka nitumie kitochi nokia kwa kuwa siwezi kununua simu gharama
Kaka kaka umenichekesha mno jamani 😸😸😸Hizi simu ndio zile ukiweka mfukoni inajiwasha tochi yenyewe unashtuka tu kusikia paja linaungua tu taratiiiiiibu?
Itel ni sawa na voda wanapojaribu kusema ndugu mteja tumesharekebisha vifurushi endelea kufurahia nasi ila hapo hapo bundle la 1GB ni 3500 😺😺😺Hakuna simu hapo, Yani Hadi mnaogopa kutaja Bei yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Asee nimehamia iPhone sahizi experience yangu ya simu na perception imebadilika kabisa! iOS v14 ni tamunyoo sana! Nilikuwa nazipondea ila kiukweli iPhone ni nyepesi na fast OS kuliko android!Dah!! Itel bhana.. Hizo sim au uchafu
Wabongo kwa kuropoka mpk keroWatu mnaponda wengine kutumia tecno, wakati mnajua hali halisi ya watanzania au wengine uchumi wenu mzuri? , mimi natumia cammon 11,mwaka wa tatu iko poa tu au mnataka nitumie kitochi nokia kwa kuwa siwezi kununua simu gharama
Haipendi giza kabisa, imezoea mataa ulayaHizi simu ndio zile ukiweka mfukoni inajiwasha tochi yenyewe unashtuka tu kusikia paja linaungua tu taratiiiiiibu?
Bei ya itel A37 ni Sh. 150,000 tu.Weka na bei niangalie uwezekano Wa kuachana na haka Katecno kangu..
Maana kamezidi kuniumbua, juzi Niko namtongoza demu kenyewe mfukoni kameshajitoa lock, kamesachi namba na kameshampigia Mama Mkwe bila Mimi kujua.
👊👊We mwenyewe umetumia SAMSUNG kupost ujumbe hapa jamvini ndio ujue itel na techno siyo simu
Mm natumia techno sababu ya mfuko wangu mfupi
Unaota weweTakribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na Diamond kuhusu itel A37 ni pamoja na ubora na ukubwa wa skrini ya A37 ambayo ina 5.7” HD+ Waterdrop ikiwa ni full skrini. Kabla ya uzinduzi huo Diamond aliwaambia wafanyabiashara ambao ni wadau wa “itel A37 ni lazima niwe nayo kila siku ina skirini kubwa inatoa mwonekano bomba wa chochote ninachokitazama kwenye skrini ndio sababu naipenda sana na kizuri zaidi simu hii ina face unlock” amenukuliwa Diamond.
Kwa ufafanuzi zaidi face unlock ni mbadala wa fingerprint na hufanya kazi kwa ufanisi na ni salama na rahisi, ili kufungua itel A37 mtumiaji atatakiwa kutazama kwenye skrini ya A37 na simu itajifungua yenyewe.
View attachment 1751731
Mbali na hilo itel A37 imeundwa kwa namna ambayo kama mtumiaji anataka kujipiga picha maarufu sefie na asingependa kubofya kwa kidole basi anaweza kutabasamu tu mbele ya kamera ya itel A37 na hapo atakuwa tayari ameshajipiga picha.
Kikubwa zaidi itel A37 imedizainiwa ikiwa na ukanda maalum mzuri wa kuvutia (ribbon), hii inakumweka mtumiaji kwenye ulimwengu wa fasheni mahali popote anapokuwepo.
Zaidi ya hayo, simu ya itel A37 imewekewa ulinzi wa macho kwa mtumiaji, hii inajulikana kama eye care ambapo mtumiaji atatumia simu hiyo kusoma vitabu ama kutazama chochote kwa mwanga laini usio na mionzi inayoumiza macho.
Simu hii iliyozinduliwa ina rangi tatu ambazo ni, Dark Blue, Light Purple, Gradient Green.
View attachment 1751733
Taarifa zaidi tafadhali tembelea ukurasa wa instagram wa itel tanzania au bofya link hii: Login • Instagram
[emoji28][emoji28][emoji28]Hizi simu ndio zile ukiweka mfukoni inajiwasha tochi yenyewe unashtuka tu kusikia paja linaungua tu taratiiiiiibu?
[emoji16][emoji16][emoji16]Weka na bei niangalie uwezekano Wa kuachana na haka Katecno kangu..
Maana kamezidi kuniumbua, juzi Niko namtongoza demu kenyewe mfukoni kameshajitoa lock, kamesachi namba na kameshampigia Mama Mkwe bila Mimi kujua.