Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Imebainika Kenya itakua ya tatu Afrika kunufaika kutokana na kufunguliana kwa Afrika, huu ndio umuhimu wa kuwa na watu wenye hulka ya kujituma na ujasiri wa kutoka.

Afrika inabadilika, Afrika mpya isiyo ya taswira ya kuomba omba, ila Afrika ya biashara na viwanda, japo kuna baadhi wamenunia hili wakiwemo majirani zetu Tanzana, lakini kwa baadhi yetu tuna fahari sana kuona Afrika inafunguliana tukiwa hai, tunashuhudia mageuzi ya ajabu, kwamba tutapokeza hili bara kwa watoto wetu likiwa limepiga hatua na kuondokana na umaskini na ukata uliokubuhu, mkulima wa matikiti maji ana uhuru wa kuyauza kwenye mataifa yote haya bila mahangaiko.

Mliobaki nje na kununa ifike mahali muanze kutumia ubongo na sio hisia, mtafakari sana kama mpo tayari kuwa kwenye upande unaofaa wakati historia itaandikwa.

======

Kenya has been ranked third among African countries that stand to gain most from the continental free-trade zone that is expected to start work in January, Word Bank reveals.

Only Ivory Coast and Zimbabwe are said to benefit more than Kenya from the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) — the largest since the creation of the World Trade Organisation in 1994.

The World Bank reckons Kenya’s relatively developed industrial potential and human capital will give it an edge from reduced trade barriers on the continent.

Kenya is also among those that have already reduced trade costs and barriers with neighbouring countries.

“Most of AfCFTA’s income gains are likely to come from measures that cut red tape and simplify customs procedures,” the World Bank`.

“Tariff liberalisation accompanied by a reduction in non-tariff barriers — such as quotas and rules of origin —would boost income by 2.4 per cent, or about $153 billion. The remainder — $292 billion — would come from trade-facilitation measures that reduce red tape.”

AfCFTA is expected to unlock Africa’s long-stymied economic potential by boosting intra-regional trade, strengthening supply chains and spreading expertise.

The continental free-trade zone, once implemented, will bring together 1.3 billion people in a $3.4 trillion economic partnership.

The deal, which was set to commence on July 1, 2020, was expected to lower compliance costs for traders and make it easier for African businesses to integrate into global supply chains.

The AfCFTA could begin operating on January 1 next year, after the Covid-19 pandemic made its original launch date untenable.

Source: Business Daily
 
Are you serious?

Halafu nilishangaa mumenunia hili la Afrika kufunguliana, yaani mpo chini sana kimahusiano baina ya mataifa ya Afrika, mumerudi nyuma sana kidiplomasia, muhimu sana mkaelimishwa zama hizi ni zama za utandawazi.

Hampo kwenye mataifa yaliyokubali hii Afrika mpya

Ghana, Kenya, Rwanda, Niger, Chad, Congo Republic, Djibouti, Guinea, eSwatini (former Swaziland), Mali, Mauritania, Namibia, South Africa, Uganda, Ivory Coast (Côte d’Ivoire), Senegal, Togo, Egypt, Ethiopia, The Gambia, Sierra Leone, Saharawi Republic, Zimbabwe, Burkina Faso, São Tomé and Príncipe, Gabon, Equatorial Guinea and Mauritius. Cameroon and Angola
 
Nchi ya Kenya pamoja na Ghana ndio zilishawishi nchi za Afrika na zikafanikisha mkataba wa AfCFTA. Sio siri, lazima tule top layer kwanza na tufaidi kabla ya wengine wote ambao walijiunga shingo upande baada ya kuona kwamba asilimia kubwa ya nchi za Afrika zimekubali wazo hilo. AfCFTA ni soko la uhakika na linajumuisha waafrika 1.3 billion.
 
Bila Tz asilimia Kubwa ya bidhaa zenu zitaishia Uganda na Somalia tu, Tz still Baba Lao!.
Bidhaa gani za Wakenya?
Biashara ya maua ni Mali ya Muzungu toka Uingereza
Biashara ya Chai ni Mali ya Muzungu
Viwanda na Makampuni ni Mali za Wazungu, Wahindi, Wasomali na Kenyatta Family,
Hospitality Industry owned by Italians
Even the Aviation sector,
What do these folks own?
Land is also owned by Wazungu and Uhuru Kenyatta Family

Black Kenyans are cheap labour in these sectors,
All they can achieve upon their retirement is a 20*30 plot of land that appears to be a great Achievement to these wicked brothers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu nilishangaa mumenunia hili la Afrika kufunguliana, yaani mpo chini sana kimahusiano baina ya mataifa ya Afrika, mumerudi nyuma sana kidiplomasia, muhimu sana mkaelimishwa zama hizi ni zama za utandawazi.

Hampo kwenye mataifa yaliyokubali hii Afrika mpya

Ghana, Kenya, Rwanda, Niger, Chad, Congo Republic, Djibouti, Guinea, eSwatini (former Swaziland), Mali, Mauritania, Namibia, South Africa, Uganda, Ivory Coast (Côte d’Ivoire), Senegal, Togo, Egypt, Ethiopia, The Gambia, Sierra Leone, Saharawi Republic, Zimbabwe, Burkina Faso, São Tomé and Príncipe, Gabon, Equatorial Guinea and Mauritius. Cameroon and Angola
Kwani mkuu hiyo si hasara yetu kutojiunga na huo mpango?

Kwanini ninyi muumie sisi tukikosa faida ya kufunguliana?

Nani ulisikia anamuitia mwenzie njoo huku nawewe utajirike haraka, nimekuta fuko la fedha au dhahabu?

Unafikiri England ni wajinga kujitenga na ile Brexit?

Unafikiri Trump ni mjinga na MAGA yake? Huoni MAGA imehamasisha sana America kuangalia maslahi yake yeye peke yake kwanza?

Kukataa kwetu kujiunga na huo ushirika wa kufungulia mipaka ovyo ni kama mkakati wa MAGA ya USA. Mtuache na huu 'unjinga' wetu.

We will join that coalition after reaching our milestones, See you when we get there.
 
Bidhaa gani za Wakenya?
Biashara ya maua ni Mali ya Muzungu toka Uingereza
Biashara ya Chai ni Mali ya Muzungu
Viwanda na Makampuni ni Mali za Wazungu, Wahindi, Wasomali na Kenyatta Family,
Hospitality Industry owned by Italians
Even the Aviation sector,
What do these folks own?
Land is also owned by Wazungu and Uhuru Kenyatta Family

Black Kenyans are cheap labour in these sectors,
All they can achieve upon their retirement is a 20*30 plot of land that appears to be a great Achievement to these wicked brothers.

Sent using Jamii Forums mobile app
ATCL bado sana kwenye Safari za anga
MK254
 
The Airline owns 11 Modern Aircrafts owned by Tanzanians 100%
KQ owns 3-Planes, and the Airline is also owned by the Kaburu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kuongeza umemaliza, waache waendelee kufurahia visivyo vyao, TZ inasonga kwa kasi watu wanabadilika kwa kiwango cha juu mno, msipende sana kubishana na watu wanaoionea wivu TZ, tulichelewa kweli lakini sasa tunawawashia taa ya kuovertake ndio maana wanahangaika kila kukicha kuangalia madhaifu na mafanikio yetu - ukweli ni kwamba WANATISHWA NA MWENDO WA TZ, Ahsante wantanzania, Ahsante Magufuli.
 
Poleni kwa kweli Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi
 
MK254,

Ikiwa tu mko Jirani na sisi Tanzania mmefunga mipaka mnaona kama watu wa nakuja us nyie wakenya mnamatatizo sana
 
Back
Top Bottom