Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

Hali yake ngumu inahusika vipi kwetu?wakati ujenzi wa Reli yetu unasonga kwa kasi ya kuridhisha!?.

Muda utaamua tu, TZ iliyumbishwa na mabadiliko ya kisera lakini sasa TZ imeamka wananchi ni wamoja pamoja na utofauti wa kisiasa ila tunaongea Lugha moja kwenye kujiletea maendeleo chini ya rais shupavu mfano wa kuigwa Africa.

Reli ilikua muanze kutumia mwaka jana, naona mnaendela na ngonjera.
 
Hebu mjibu jamaa kwa hoja hapo juu, nikweli tuliskia kwamamba mwaka jana tulikuwa tuanze kutumia treni vp???
Mlisikia wapi??huo mradi ulitakiwa kukabidhiwa 2020 sept.hali ya hewa imesababisha usitishwaji wa kazi kwa kipindi kirefu.ndio maana unaona tumeachwa na muda.

Ila mpaka kufikia sept 2020,tutafanya tathmini rasmi ni kwa kiasi gani tumeachwa na muda.

So tuliza mpira.
 
Mliobaki nje na kununa ifike mahali muanze kutumia ubongo na sio hisia, mtafakari sana kama mpo tayari kuwa kwenye upande unaofaa wakati historia itaandikwa.
Kila nchi ipo huru kufuata inachoamini. Msitulazimishe, mbona mnafunga mioaka biala kushauriana na wenzenu na hakuna anaewauliza
 
Hakuna cha kuongeza umemaliza, waache waendelee kufurahia visivyo vyao, TZ inasonga kwa kasi watu wanabadilika kwa kiwango cha juu mno, msipende sana kubishana na watu wanaoionea wivu TZ, tulichelewa kweli lakini sasa tunawawashia taa ya kuovertake ndio maana wanahangaika kila kukicha kuangalia madhaifu na mafanikio yetu - ukweli ni kwamba WANATISHWA NA MWENDO WA TZ, Ahsante Watanzania, Ahsante Magufuli.
JPM kawa tishio kwa marais wote wa EA anafanya marais wengine waonekane ni takataka

note
Kuna bwawa la umeme linakuja [emoji23][emoji23]
 
Hivi we jamaa katika maandiko yako yote huwa nini kinakuwashawasha na kukuchokonoa chokonoa hadi uitaje Tanzania, hivi unaelewa kwanini hii nchi inaitwa Tanzania?

Unakuja kwenye mtandao wa watanzania unapiga kelele kama mahayati bin kiluza wamekupanda kichwani,hivi ukiongea bila kuitaja Tanzania nini kinakuuma, hivi mambo ya kwenu umeyamaliza hadi uje kuzungumza neno Tanzania, kila andiko lako lazima uitaje Tanzania, umetumwa wewe tena walokutuma ukishindwa hii kazi watakufanyia mchezo mbaya sana halafu wakikuachia lazima ukajiue.

Achana naTanzania mzee, mambo ya kuitaja taja hovyo Tanzania ukome, baki na li Corona lako huko kwenu.

Yani uliwangia sana hii nchi kuhusu Corona na ukafeli,YOU ARE THE NIGHT RUNNER WAAHED. Komaaaaaaaa na Tanzania.
 
MK254,
Tanzania imekukaa kichwani, endelea kupata tabu, ila sisi TUPO VIZURI ZAIDI YA JANA.
 
Eti tufunguliane mipaka na Wakenya,
Haki hilo halitatokea Milele,
Yaani tusifunguliane na watu waungwana kama Wacongomani na Waganda, au hata Wahabeshi tuje tufunguliane na Wakenyaland?
Unafungulia Mwizi mlango?
Mwizi akiingia ndani kwako ataiba hata kijiko tu mradi asitoke mikono mitupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidhaa gani za Wakenya?
Biashara ya maua ni Mali ya Muzungu toka Uingereza
Biashara ya Chai ni Mali ya Muzungu
Viwanda na Makampuni ni Mali za Wazungu, Wahindi, Wasomali na Kenyatta Family,
Hospitality Industry owned by Italians
Even the Aviation sector,
What do these folks own?
Land is also owned by Wazungu and Uhuru Kenyatta Family

Black Kenyans are cheap labour in these sectors,
All they can achieve upon their retirement is a 20*30 plot of land that appears to be a great Achievement to these wicked brothers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Clearly, you're illiterate
 
Bidhaa gani za Wakenya?
Biashara ya maua ni Mali ya Muzungu toka Uingereza
Biashara ya Chai ni Mali ya Muzungu
Viwanda na Makampuni ni Mali za Wazungu, Wahindi, Wasomali na Kenyatta Family,
Hospitality Industry owned by Italians
Even the Aviation sector,
What do these folks own?
Land is also owned by Wazungu and Uhuru Kenyatta Family

Black Kenyans are cheap labour in these sectors,
All they can achieve upon their retirement is a 20*30 plot of land that appears to be a great Achievement to these wicked brothers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu umeua, bia gani unakunywa?
 
Back
Top Bottom