Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana


Reli ilikua muanze kutumia mwaka jana, naona mnaendela na ngonjera.
 
Hebu mjibu jamaa kwa hoja hapo juu, nikweli tuliskia kwamamba mwaka jana tulikuwa tuanze kutumia treni vp???
Mlisikia wapi??huo mradi ulitakiwa kukabidhiwa 2020 sept.hali ya hewa imesababisha usitishwaji wa kazi kwa kipindi kirefu.ndio maana unaona tumeachwa na muda.

Ila mpaka kufikia sept 2020,tutafanya tathmini rasmi ni kwa kiasi gani tumeachwa na muda.

So tuliza mpira.
 
Mliobaki nje na kununa ifike mahali muanze kutumia ubongo na sio hisia, mtafakari sana kama mpo tayari kuwa kwenye upande unaofaa wakati historia itaandikwa.
Kila nchi ipo huru kufuata inachoamini. Msitulazimishe, mbona mnafunga mioaka biala kushauriana na wenzenu na hakuna anaewauliza
 
JPM kawa tishio kwa marais wote wa EA anafanya marais wengine waonekane ni takataka

note
Kuna bwawa la umeme linakuja [emoji23][emoji23]
 
Hivi we jamaa katika maandiko yako yote huwa nini kinakuwashawasha na kukuchokonoa chokonoa hadi uitaje Tanzania, hivi unaelewa kwanini hii nchi inaitwa Tanzania?

Unakuja kwenye mtandao wa watanzania unapiga kelele kama mahayati bin kiluza wamekupanda kichwani,hivi ukiongea bila kuitaja Tanzania nini kinakuuma, hivi mambo ya kwenu umeyamaliza hadi uje kuzungumza neno Tanzania, kila andiko lako lazima uitaje Tanzania, umetumwa wewe tena walokutuma ukishindwa hii kazi watakufanyia mchezo mbaya sana halafu wakikuachia lazima ukajiue.

Achana naTanzania mzee, mambo ya kuitaja taja hovyo Tanzania ukome, baki na li Corona lako huko kwenu.

Yani uliwangia sana hii nchi kuhusu Corona na ukafeli,YOU ARE THE NIGHT RUNNER WAAHED. Komaaaaaaaa na Tanzania.
 
MK254,
Tanzania imekukaa kichwani, endelea kupata tabu, ila sisi TUPO VIZURI ZAIDI YA JANA.
 
Eti tufunguliane mipaka na Wakenya,
Haki hilo halitatokea Milele,
Yaani tusifunguliane na watu waungwana kama Wacongomani na Waganda, au hata Wahabeshi tuje tufunguliane na Wakenyaland?
Unafungulia Mwizi mlango?
Mwizi akiingia ndani kwako ataiba hata kijiko tu mradi asitoke mikono mitupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clearly, you're illiterate
 
Mwanangu umeua, bia gani unakunywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…