Dini zote chanzo chake ni kimoja na mmilik ni mmoja.
Haya tunaongea kila siku humu lkn watu hawaelewi, hiv muafrika inakuwaje unamtenga na kumkebehi mwenzako kisa dini uliyoletewa?
Huyo Mungu wa dini kama alkuwa na upendo why alete imani zake kupitia ukoloni na mauwaji ya kutisha?
Dini ni ujinga na upumbavu, Muumba wa kwel hapatikan ktk hayo magenge yenu ya ibada za jumapil, ijumaa,na jmos.
Dini zote muanzilishi ni mmoja kupitia vibaraka wake yaan warumi&waarabu bila kuwasahau wahindu na takataka zingine ziitwazo dini.
Viumbe wote hao majin,malaika,wakina yesu, Allah,yehova, yahwe,elishadai, alpha&Omega, hawa woote ni kiumbe mmoja ktk uhalisia wa majina tofaut tofaut, na ndye yule aliyejivka utakatifu na kuchukua mamlaka yasiyo yake kwa kuwafanya watu wamuabudu bila wao kujua ama kwa kujua.
Dini ya kweli ambayo wanajua nini wanakiabudi na nan wanamtumikia ni hao muwaitao waabudu shetan na freemason, maana hawa wanaabudu directly kiumbe wakijuacho kuwa ni shetan, lkn nyie wengine mko brainwashed kwa uongo mliokalilishwa na viongoz wenu wa dini.
Ukiwa open minded utanielewa nini namaanisha, chunguza maandiko, chunguza history ya dunia, utagundua kuwa tunaish ktk dunia iliyojawa uongo, na ukwel unajulkana kwa kiwango kidogo sana.
View attachment 2078792