mahingah
Senior Member
- Oct 4, 2016
- 198
- 277
Ww jamaa umenichekesha,hv umefikiria nn?Hzo ni hearsay tu,mtoa mada anataka tusile misamwanda ya buku jero
Ww jamaa umenichekesha,hv umefikiria nn?Hzo ni hearsay tu,mtoa mada anataka tusile misamwanda ya buku jero
Alinena hekima hii baada ya kupita huko.Uwezi tambua umuhimu wa Nuru pasipo kuwa Gizani.MWANAUME MZINZI HANA AKILI HATA KIDOGO, KWA SABABU ANA IANGAMIZA NAFSI YAKE MWENYEWE.
Bwana Solomoni si ndio alikua mzinzi mkuu, kutokana na hayo hayo maandiko.
Alikuwa na wake 300 na masuria 700Solomon si ndo mfalme suleiman aliezini na yule malkia wa ethiopia? Na anaongelea mzinzi hana akili!
Pia alioa wanawake 700 na masulia 300, before alionywa na Mungu kuhusu hiyo tabia. Mungu alimwambia kuwa atatekwa na miungu ya hao wanawake mwisho atamkosea Mungu. Solomon hakusikia.Solomon si ndo mfalme suleiman aliezini na yule malkia wa ethiopia? Na anaongelea mzinzi hana akili!
Labda tuseme aliingia maagano wakati yupo akifanya kazi club pamoja na askari aliemuua,lakini hili kwa wenyewe halipoKumbe marehemu alikuwa amejikabidhi kwa mashetani siku nyiiiingi!
porn star????
Murder and manslaughter.Manslaughter??
Aiseee
Bongo hii hii ambayo mtaa mzima unafungwa na panya road wanne na wanaume wanakimbilia kujificha chini ya uvungu wa vitanda au ni bongo ipi unayoizungumzia wewe?Sikuungi mkono Ila tu najiuliza,yule mzungu hakujua kwamba atamuua jamaa?
Na wake wengine pembeni,yaani wanaona kabisa jamaa anaminywa anaweza akafa wanaangalia tu? Kwetu huku,tandale kwa tumbo lazima tungemvamia muzungu na kumuokoa jamaa,yaani mwenzetu mwana age mbele yetu?
Hapa nimedharau Sana blacks wa kule,kibongo bongo haiwezekani.
Mmm labda ikawa kweli, kwahiyo kivuli cha marehemu kiliwazuia ili wamuache afe[emoji24][emoji24][emoji24]Kivuli alicho beba Marehemu kiliwazuia kufanya chochote. Hata huyo mzungu mwenyewe. NI kama alikuwa pushed by an external force ambayo hata yeye mwenyewe hakujua inatoka wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chakushangaza hukimbia na kuwaacha wake zao nyuma haaaa haaaBongo hii hii ambayo mtaa mzima unafungwa na panya road wanne na wanaume wanakimbilia kujificha chini ya uvungu wa vitanda au ni bongo ipi unayoizungumzia wewe?