Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

Solomon si ndo mfalme suleiman aliezini na yule malkia wa ethiopia? Na anaongelea mzinzi hana akili!
Pia alioa wanawake 700 na masulia 300, before alionywa na Mungu kuhusu hiyo tabia. Mungu alimwambia kuwa atatekwa na miungu ya hao wanawake mwisho atamkosea Mungu. Solomon hakusikia.

Inasemekana aliishia kuwa kichas japo bible haijasema ukiweza search lost books from bible, utaona.

Hatujui zaidi kuhusu huyu dead young man. God knows all.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe jamaa alikuwa ni mwanachama.
Ndo maana wadau wamekasirika sana stering kuuliwa
 
Bongo hii hii ambayo mtaa mzima unafungwa na panya road wanne na wanaume wanakimbilia kujificha chini ya uvungu wa vitanda au ni bongo ipi unayoizungumzia wewe?
 
Kivuli alicho beba Marehemu kiliwazuia kufanya chochote. Hata huyo mzungu mwenyewe. NI kama alikuwa pushed by an external force ambayo hata yeye mwenyewe hakujua inatoka wapi.
Mmm labda ikawa kweli, kwahiyo kivuli cha marehemu kiliwazuia ili wamuache afe[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Bongo hii hii ambayo mtaa mzima unafungwa na panya road wanne na wanaume wanakimbilia kujificha chini ya uvungu wa vitanda au ni bongo ipi unayoizungumzia wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chakushangaza hukimbia na kuwaacha wake zao nyuma haaaa haaa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tuletee kazi yake ya porn lasivyo ni uzushi maana mwamba ni mwana hiphop...[emoji52]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…