Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

Emb taratib riQuid inamaana ilibidi amtumikie yesu kwanza ndipo ashinde na si huyo Allah!?
 
Samahani kaka Likud, ufafanuzi kidogo, wewe umesema ni devoted Muslim. Kwa nijuavyo mimi, Muslims do not worship in the "Lord of Israel" (so to speak, japo Mungu wa kwetu sote). Ufafanuzi tafadhali maana "God of Israel" najua ni dhana iliyopo kwenye Ukristo zaidi .
 
haukuletwa duniani kukaa bure bure.
Maana wewe si chochote.
Kurudisha shukrani kwa aliyekuleta ni MUHIMU.
ndo maana kuna dini ili tumjue aliyetuleta hapa duniani na kumshukuru kwa kumuabudu.
Kuna mamia na maelfu hawana dini na wanaishi kiugwana na kistaarabu kuliko hao wenye dini. Chunga dini isikulevye, inaondoa maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am an open minded person.
 
We jamaa hivi ni kweli ume mjua Yesu si mchezo!! Ila huku tuambia mkuu kisa cha wewe kuokoka kama upo huo uzi uni tag bas.....Sa elimu yako ya uchawi si utakuwa umesha isahau mkuu.
 
nimekumbuka pambano la Prince naseem VS Barrela..
Takbir nyingiii ila alichokutana nacho.. iiiiih.

hii tabia ni mbaya sana hasa pale unaposhindwa, hii inapelekea hadi mungu wako uliyekuwa unamtaja wakati wa pigano kuziahakiwa na mashabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uchambuzi uchwara.. Holifield Vs Tyson ilipaswa kufanyika.miaka mitano kabla ..
Alipoenda jela hakuweza kurudi Kwenye form..
Kibaya zaidi alipotoka jela hakupigana na mabondia wakali ..Don King alikuwa anapanga mabondia vibonde ili kumpandisha na kupiga hela..
Tyson alikuwa tayari anatumia madawa ya kulevya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…