Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mamia na maelfu hawana dini na wanaishi kiugwana na kistaarabu kuliko hao wenye dini. Chunga dini isikulevye, inaondoa maarifa.[emoji16][emoji16].
utaishije bila dini?
utakuwa huna tofauti na mnyamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh Tyson was 30 yrs old and Evander was 34 yes old. Nani anafaaa kuwa amechana at that age ?
Kuna mamia na maelfu hawana dini na wanaishi kiugwana na kistaarabu kuliko hao wenye dini. Chunga dini isikulevye, inaondoa maarifa.
Alimwambia kichapo utakachopata hata Mungu hatauteteaNtafatlia battle zao za maneno!
I am an open minded person.Samahani kaka Likud, ufafanuzi kidogo, wewe umesema ni devoted Muslim. Kwa nijuavyo mimi, Muslims do not worship in the "Lord of Israel" (so to speak, japo Mungu wa kwetu sote). Ufafanuzi tafadhali maana "God of Israel" najua ni dhana iliyopo kwenye Ukristo zaidi .
Kwako wewe unaye-amini hivyo, sawa.haukuletwa duniani kukaa bure bure.
Maana wewe si chochote.
Kurudisha shukrani kwa aliyekuleta ni MUHIMU.
ndo maana kuna dini ili tumjue aliyetuleta hapa duniani na kumshukuru kwa kumuabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe unaye-amini hivyo, sawa.
Sawa shekhe. Hoja yangu kuu ni kwamba; dini tuziendee kwa akili sana. Tena kwa kipimo na maarifa kwelikweli. Ukizivaa kichwa-kichwa zinapumbaza mpaka unakua mjinga na mtumwa wa imani.