LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwenye kamusi yangu, neno mganga linatokana na neno "kuganga" yaani.kubahatisha..Kwa hiyo mganga NI mtu.anae bahatisha.bahatisha tu yani Hana uhakika na.kile anacho kifanya.
So unapokuwa na tatizo serious halafu ukaenda kwa.mganga ili akusaidie Basi jua unapeleka shida yako kwa.mtu ambae Hana uhakika na anacho kifanya. Be wise!!!
Back.to.the topic.
Siku hizi uganga na uchawi hauna nguvu kabisa kama.ilivyo kuwa zamani.
For.my personal opinion, uganga na uchawi wenyewe ulikuwa relevant mwaka 1985 kushuka chini and not after the said year.
Ndio maana siku hizi kila.mtu anae enda kwa mganga anaishia kucomplain kwamba hajapata matokeo ya alicho kuwa ana kitarajia.
SABABU NI RAHISI SANA;
In the Bible, it has been written " Mungu NI Alpha na Omega" Yani " MUNGU NI MWANZO NA MWISHO".
Wote tunajua kuwa Sasa hivi tupo katika Nyakati za Mwisho.
Kwa hiyo kwa lugha nyingine wakati wa mwisho NI wakati wa Mungu.
Sasa hivi NI wakati wa Mungu kutawala. Uganga na uchawi hauwezi kufanya lolote Wala hauwezi kukusaidia chochote.
Kama una tatizo lolote linalo hitaji msaada wa kiroho go straight to God and he will help you without a doubt.
Unless otherwise ni Bora utumie akili yako tu kuliko kutumia hirizi kwa sababu akili ina nguvu kuliko hirizi,uganga na uchawi wake aina yoyote ile unao ujua wewe.
Ndio.maana Nyani Ngabu na Kiranga kila siku Wana toa challenge kwa wachawi wawaroge wanashindwa.
N.B: Hata waganga wenyewe hawajui chochote kuhusu hili kwa sababu wao wanafanya vitu vyao kwa kuganga tu yaani kubahatisha bahatisha.
Be.blessed