Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Jamaa ndo kapotea hajarudi kujibuKama uchawi ulikuwepo kuanzia 1985 kushuka chini. Kwanini wasiwaroge waarabu na wazungu ambao walikuwa wanachukua watumwa Afrika? Mababu na mabibi zetu waliuwawa, wengine walibakwa na walitawaliwa. Kwanini wasitumie uchawi wao kujikomboa?
Kwanini hawakutumia uchawi kwenye vita vya majimaji tukashinda? Afrika yote ilitawaliwa, enzi hizo kodi ya kichwa, baiskeli na matiti zilikuwepo kwanini wasitumie huo uchawi kuwadhuru wakoloni?