Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

Nimekuelewa Sana kuhusu Mwamposa na namkubali sana tu, sasa Sisi tunaofunga Mwaka na madeni twende kuvuka na madeni?
Madeni yote mnaenda kuyazika kwenye madhabahu ya Mwamposa.

Pale Calivary yote yalikwisha
 
Wale wanao kuaga kwenye kikundi cha maigizo ya kuanguka hovyo pale kwa mwamposa inaonekana wanalipwa vizuri Sana
 
Tafuta hela mkuu . Wacha kuleta stress zako kwenye Uzi wangu.
Wewe mlozi na msukule wa wapemba kariakoo nalisha ukooo wenu na majirani zenu miaka kumi.

Eti Uzi, basi kashonee chupi uko. Hopeless kabisa
 
Ndio maana nimesema kama unataka ? Nawazungumzia wale wanao hitaji kupata mafanikio kwenye biashara. Siwazungumzii ambao tayari wameshafanikiwa
Madhabahu inapaswa kuwa ya Mungu si ya mwanadamu unless ni shiriki au unamwabudi shetani
 
Madeni yote mnaenda kuyazika kwenye madhabahu ya Mwamposa.

Pale Calivary yote yalikwisha
Kwamba ukirudi home lile tangazo la bank kupiga mnada nyumba yako unakuta wamelifuta?

Mimi nashauri mtu mwenye uwezo wa kuonana na Mwamposa private huyo ana nafasi ya kupunguza au kupata muelekeo, Hilo sina Shaka nalo.
 
Wewe mlozi na msukule wa wapemba kariakoo nalisha ukooo wenu na majirani zenu miaka kumi.

Eti Uzi, basi kashonee chupi uko. Hopeless kabisa
Ur handwriting doesn't suggest what u have written.
 
Wale wanao kuaga kwenye kikundi cha maigizo ya kuanguka hovyo pale kwa mwamposa inaonekana wanalipwa vizuri Sana
Kwa akili hii mkuu nasikitika kukwambia kwamba utaendelea na us##e wako wakutokuwa na hela
 
Ur handwriting doesn't suggest what u have written.
Mwanaume unatumia 'U' badala ya 'You' tayari unaleta ukakasi kuhusu jinsia Yako.

Peleka ujinga wako kwa hao wajinga wenzio.
 
mkuu huu sio mtandao wa mwamposa, ni heri mlipie ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…