Sababu za kiroho kwanini wewe unayetaka mafanikio kwenye biashara yako lazima uende kwenye madhabahu ya Mwamposa

Maombi hayaleti utajiri. Je wasioamini na wametajirika , Kuabudu dini za kuletwa Kwa njia ya utumwa ni upungufu wa afya ya akili na pamoja na utapeli wa kiimani.
 
Wajinga ndiyo waliwao.
🤣🤣🤣 watu wanaenda kwa Mwamposa kama wanaenda kwa Ostaz na wanafanikiwa blv me. Kwa sababu jamaa ana nguvu sana. Watu wanafuata hizo nguvu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wanaenda kwa Mwamposa kama wanaenda kwa Ostaz na wanafanikiwa blv me. Kwa sababu jamaa ana nguvu sana. Watu wanafuata hizo nguvu.
Ana nguvu gani. Fanya kazi acha utapeli. Watu wanaamka wanakwenda kwenda shughuli zao za kuwaingizia kipato wewe unakwenda kanisani kuombewa. Badaye mnalalamika barabara mbovu, hospital hakuna dawa, kumbe hamchangii Pato la taifa Kwa kulipa Kodi na kuongeza mzunguko wa pesa. Itabidi Kodi ya Kichwa irudi.
 
Mbona mnaita "madhabahu ya Mwamposa", binafsi simkosoi maana sijawahi kumfuatilia, lakini acheni kumfanya awe kama Mungu.
Madhabahu hayawezi kuwa ya binadamu.
 
🤣🤣🤣 watu wanaenda kwa Mwamposa kama wanaenda kwa Ostaz na wanafanikiwa blv me. Kwa sababu jamaa ana nguvu sana. Watu wanafuata hizo nguvu.
Mwisho wa siku wataanza kumuabudu yeye badala ya Mungu..!!
 
Nje ya mada kidogo,,, mwamba huyu hapa, kipindi hicho ndo anatoka kijijini kwao sitimbi,,,,, la kujifunza hapa, mjini njoo na akili miguvu yako iache huko huko mbwinde, baharia kashajipata japo kanikuta mjini..
 
View attachment 2856326
Na sisi tutaenda kwake ili kujifunza kutumia akili hizo hizo alizo zitumia kubadilisha maisha yake
 
Na sisi tutaenda kwake ili kujifunza kutumia akili hizo hizo alizo zitumia kubadilisha maisha yake
Hakuna namna Zaidi ya kutafuta chaka na wewe ufungue kanisa lako ni biashara nzuri sana kwa hapa mjini,, ukiachana tu sadaka siku hizi kuna viambata ibada kama, mafuta, vitambaa, mchanga, chupi etc.. Mwamba kanikuta daslamu lkn kanitambuka kama nimesimama vile,,,, jamaa ni mfano wa kuigwa kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…