LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
It was a part of his healing process.
Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua)
Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu aliweza kutema nyongo/sumu Jambo ambalo lilikuwa muhimu Sana katika process ya yeye kuwa healed completely from the Post Trauma.
Upendo mkubwa alio onyeshwa na wananchi wa Tanzania kwa namna yoyote ile utakuwa umesaidia sana katika mchakato wa kuharakisha uponyaji wa nafsi yake.
Sympathy aliyoipata kutoka kwa mamilioni ya Watanzania ilikuwa muhimu sana katika kuiponya nafsi yake kwasababu ilimpa faraja kwamba wapo watu ambao walimsaidia kubeba uchungu wake na kwamba walihuzunika pamoja naye.
# Serikali ya awamu ya Tano kama ingekuwa na watu smart wala wasingehangaika kumfanyia Lissu figisu figisu alipokuja kugombea, wangepaswa kujua kwamba ujio wa Lissu TZ ilikuwa sehemu ya uponyaji wake.
Yericko Nyerere unakubaliana Na hoja yangu?