Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

Huu ndio uwongo dhahiri kabisa mkuu Stuxnet
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1782023103788257512?t=vBL9gj-0tQvSzKv5ZTcv3Q&s=19
 
Kama Wana kosa aliyewatoa Kwa nini hakuwaweka Kisongo?

Tzn sio China
Asante kwa kuelewa nilichocoment hapo, narudia tena, hao vyeti feki kilichowaponya ni asili ya huruma na wema wa kitanzania, ingekuwa nchi nyingine, wengine wangekuwa wameshanyongwa
 
Asante kwa kuelewa nilichocoment hapo, narudia tena, hao vyeti feki kilichowaponya ni asili ya huruma na wema wa kitanzania, ingekuwa nchi nyingine, wengine wangekuwa wameshanyongwa
Weka kifungu cha sheria kinacho sema ni makosa gani mtu akifanya Tanzania ananyongwa? Siyo kuandika tu kama kuku asiye na kichwa
 
Weka kifungu cha sheria kinacho sema ni makosa gani mtu akifanya Tanzania ananyongwa? Siyo kuandika tu kama kuku asiye na kichwa
Vipi, upo kwenye hii nshu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…