samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Bora tumefungwa tungeshinda zingeanza Tambo za kisiasa.Dili yao imefeli
Pitch pia imechangiaMi naona kocha aanze kutafuta straika vijana ,pia angewahi kubadili viungo kama mzamiru angeingia mapema,pia walitumia winga ya kushoto sana badala ya kulia sijui kwanini huyu wa kulia akawa anakimbiza ila bila mipango sahihi.ila uwanja pitch ilikuwa nzuri tu
Kocha anachagua timu kwa kuwafurahisha Mikia fc na tifu2 Karai.Michezaji mingi ya Mikia safi sana Warundi
Chief shida nini? Mo anaingiaje apoMo Dewji ameharibu mpira wa bongπ΅na ujinga wa Mkude?
Mbona hata Nchimbi aliitwa mkuu, Fei toto, MwamnyetoKocha anachagua timu kwa kuwafurahisha Mikia fc na tifu2 Karai.