Sababu za kufungwa Taifa stars 0 burundi 1

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Mi naona kocha aanze kutafuta straika vijana ,pia angewahi kubadili viungo kama mzamiru angeingia mapema,pia walitumia winga ya kushoto sana badala ya kulia sijui kwanini huyu wa kulia akawa anakimbiza ila bila mipango sahihi.ila uwanja pitch ilikuwa nzuri tu
 
Bwana ukifungwa zitatafutwa sababu na visingizio....weee tulia tuwasubiria waarabu next month
 
Mi naona kocha aanze kutafuta straika vijana ,pia angewahi kubadili viungo kama mzamiru angeingia mapema,pia walitumia winga ya kushoto sana badala ya kulia sijui kwanini huyu wa kulia akawa anakimbiza ila bila mipango sahihi.ila uwanja pitch ilikuwa nzuri tu
Pitch pia imechangia
 
Tumetingwa na homa ya uchaguzi...ukiishapita, waje tena warundi. Tutawanyoosha 😀

Everyday is Saturday..............................😎
 
Back
Top Bottom