Ningekua mimi ndiye Kocha wa Timu ya Taifa, nisingekuja kumuita mchezaji asiye na nidhamu kama Jonaa Mkude.
Mwamuzi amewaamulia, badi hakuridhika! Huku ana kadi ya njano tayari!! Ana mchango wake mkubwa tu kwa timu kupoteza kwenye ile mechi.
Ingawa huwezi kuwaacha
CCM kwa kuuharibu uwanja baada ya kufanya ule upuuzi wao kuchezea kodi zetu kinyemela.
Na pia mwalimu wa timu kwa kushindwa kuwa anzisha mapema wachezaji wapambanaji uwanjani kwa sasa kama Mzamiru Yasin. Badala yake anawaanzisha wachezaji wanao sugua benchi kwenye timu zao kama Said Ndemla na Idd Seleman.
Bila shaka alipenda tufungwe na timu yake ya Taifa. Maana baada ya mechi kuisha, nilimuona alivyotingwa kwenda kuwapongeza ndugu zake akiwa na furaha tele.
Yaani Taifa kubwa kama Tanzania, eti kocha wa timu yake ya Taifa ni raia kutoka ka nchi kadogo kama Burundi!! Bila shaka kuna mahali tumekosea.