Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Kama ni hivyo wanasheria tutakua hatuolewi loohπŸ˜‚... wanachoaminishwa wanasheria wanatakiwa wafahamu karibia kila kitu hapa chini ya jua..

Kuna mtu tulikua tunawasiliana sku moja akaniambia anaangalia tv kipindi cha mieleka... nkamtajia list ya wacheza mieleka nnaowapenda haswa hawa wapya wapya walioleta challenge kweny WWE akina Dan Ambrose na Roman Reigns ... yule kaka aliniogopa na tangu sku hiyo akapunguza ukaribu na mimi...
I was like damn I'll die single πŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa ufupi life style ya wanasheria is so boring.

Hakawii kukwambia " what Ur telling is strictly prohibited under Section 29(3)a of the xxxx Act which has to be read together with the second schedule to the Act No 5 of 1999 which is paramateria with Government Notice Number 7 of 2007.

U guys are so boring
 
Ndo maana tunaitwa BABA MWENYE NYUMBA, ili utoe mwongozo au uulizwe kila kitu utoe solution.

Inatakiwa uwe na mwanamke ambaye ukiwa unaangalia naye mpira kwenye TV, kipa akidaka akuulize "sasa mbona yule kashika..???"

Sio anajua kila kitu offside, kona, freekick, penalt etc.

Wanaume hatuwezi kuwa na mwanamke wa style hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni ngumu sana kupata mwandada mwanasheria halafu akawa humble wako wachache sana wengi ni freedom fighters wao ni swala la haki tu hamna kingine. wengi wao ni single unless apate Mwanaume mpole.
 
Ukweli uliomchungu wanaume wengi hasa wa Afrika hatupendi wanawake wanaojua mengi (Elimu)
Maana tutashindwa kuwatawala na kuwapelekesha tuwezavyo!!

Kwamba mwanaume kujua vitu vingi ndo vinasaidia kumpelekesha mwanamke? hivi kumbe lengo la mahusiano ni kupelekeshana?? kweli elimu haina mwisho.
 
Mkuu Mimi binafsi siwezi kuleta mambo ya carrier kwenye mahusiano... tukiwa kwenye mahusiano mambo ya sjui something is strictly prohibited according to section ngapi ngapi ya act gani ya mwaka gani sjui .. alooh siwezi...
Ukiona mtu ni much know ivo ujue ni limbukeni.. kwanza ukiniona unaeza dhani ni fala flani ivi na huwa siwezi kuzungumizia carrier yangu sehemu isiyohusika!!!
 
Du, pole sana. Utaolewa tu usiwe na shaka.
 
Japo ni ya kutunga na umeitoa sehemu lakini ni mada yenye ujumbe fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]kwahy ukamzimia data[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unayejua vitu vingi unafaa
 
haahahhha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…