Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Duh.
Nami nimejua leo. Kumbe styles P ni msauzi. Ngoja nijiridhishe google.
 
Hapana mkuu, kuna mmoja namfahamu ni lawyer pia same age kama anayemzungumzia mleta mada, anajua karibia kila jambo na atakukosoa.

Sijakataa, lakini kuna vitu ambavyo havina reference official hawezi kuwa anavifahamu kwa usahihi uliotajwa.

Nazumgumzia mfano wa wachezaji wa timu zetu bongo, hakuna records sahihi, wala kazi zao hutaziona YouTube, hao hakuna namna atakuwa anawajua kwa usahihi huo.
 
Duh.
Nami nimejua leo. Kumbe styles P ni msauzi. Ngoja nijiridhishe google.
Duh.
Baba mjamaika na mama msauzi. Ila kazaliwa quuens, new york!
Duh.
Nami nimejua leo. Kumbe styles P ni msauzi. Ngoja nijiridhishe google.
Duh.
Baba mjamaika na mama msauzi. Ila kazaliwa quuens, new york!
Huyo dada hatari.
 
Duh!...huyo ni google mkuu, huyo waachie google wenzake.
 
Duh.
Nami nimejua leo. Kumbe styles P ni msauzi. Ngoja nijiridhishe google.

Mama ake.ndio Msauzi . Ila yeye kazaliwa New York. He is one of the most illest MCs of all the time
 
Duh.
Baba mjamaika na mama msauzi. Ila kazaliwa quuens, new york!


Duh.
Baba mjamaika na mama msauzi. Ila kazaliwa quuens, new york!
Huyo dada hatari.
Umeona eeh
 
Nadhani mengine Kwa Kaka zake
 
Ndiyo maana anaitwa "Msomi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu wako anajua hadi chanjo ya corona itapatikana lini
 
Nope that is not sexy to me.
Teh teh teh πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ bora umechukua hatua mapema maana huko mbeleni kuna muda inabidi udanganye/uongope kiaina.

Sasa kwa huyo itakuwa shughuli maana kuumbuka kupo nje nje πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Nawapenda sana wanawake ambao wapo vizur upstairs, yaan manz kwenye siasa yupo, michezo yupo, mapenz yupo, uchumi yupo n.k nikikaa na manz kama huyo hua naenjoy sana na hanichoshi..

Kuna manz wa kitaa nlishawah mpga chini kwasababu ilikua kila nikiwa nae hana stori za maana zaidi ya udaku tu mara Diamond kafanya hv mara cjui Wolper anatoka na flani cjui nn dah nikaona huyu hanifai hata kidg.. Na mpk leo sijawah kumwambia kwann nlimpiga chini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nope nimefikiri kuhusu maisha' ya watoto wetu yatakuwaje.

Uzoefu unaonyesha much knows wengi huwa wanachukiwa Sana katika Jamii. Chuki hongezeka zaidi pale much know huyo anapokuwa Mwanamke . Chuki ya jamii inaweza ku extend Hadi Kwa watoto.

Nimenote kitu kimoja, there is a very thin line between a muchknow and a pride person.

Ukiwa muchknow kupita kiasi people will put you in the space as a too proud.

And if people think U got pride, they will never like you.

Kwa umuch know wa.mdada huyu manesi wanaweza msusia labour room.

The rule is " Humble urself and u will be lifted up, if u do the opposite, the opposite will befall upon you"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…