Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Ok, maana nikastuka sana nikasema kwisha habari ya kijana, mimi najua ni post yake ile ya apology, ile comment yako na hivi ilipata likes nyingi, alikuwa anakusagia meno hatari😃😃
Kumbe ndiyo maana kuna mtu alisema huyu hawezi apologize vile
Eti alikua ananisagia meno hatari.Hivi kuna watu hununa kisa kupata likes..? It's Awkward
Mimi sijawahi mkosea huyu jamaa
 
Si mbaya akijua kila kitu hapa duniani hata akiweza ajue na vilivyopo kwenye sayari nyingine,bado nitajivunia kuwa nae...

Ila tu awe msikivu na mnyenyekevu mwenye hekima anapozungumza ama pale anaponirekebisha..

Na ajue wapi pa kuongea na wapi akae kimya!!Awe na staha katika mazungumzo, akiwa na sifa hzi nitazidi kujivunia tofauti na hapo nitamuona mjuaji tu anayependa mashindano!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mkuu
 
Bahati mbaya sana sifa zote ulizozi taja watu wa aina hii hawana. Kwanza hakupi muda kumaliza unacho ongea atakukatiza akurekebishe kwanza.
 
Na kuna wale ambao wanajua vitu lakini akijua mtu wake si mjuzi kama yeye huwa na busara kwenye kueleza

Wapo wengine ambao hawa ndio tunaowaongelea kila kitu anajua yeye na hataki kurekebishwa wala kukosolewa,Kundi hili halifai katika afya ya mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Screenshot_20200418-213554_Instagram~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa challenged mkuu umenywea [emoji16][emoji16][emoji16]

Hapo sioni tatizo kama binti yuko humble. Labda kama pia ana kiherehere. Kuna mabinti wanajua mambo mengi sana lakini pia wanajua mipaka yao na wana kiasi sana. Wanaheshimu maoni ya wengine pia. Na mimi binti akijua mambo mengi ndiyo hasaa sifa mama kwangu. Hata humu JF wapo japo huwezi kujua mpaka umzoee....

View attachment 1422744

Haya sapiosexual.
 
Point Mkuu
Na kweli kujua mengi sio tatizo
Tatizo ni namna gani unawasilisha ujuaji wako.,

Na kama kweli unajua sana basi unapaswa kujua ni vyema kuwa humble hata kama unajua mengi,.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom