Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.

Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.

Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.

Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?

Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.

Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.

Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.

Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?

Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.

Demu anamjua Hadi Soko Sugi.

Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.

Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.

Demu anajua Hadi picha la Tridev.

Funny enough she was born in 1994.

Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.

She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"

Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?

After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.

Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.

Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"

Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.

And she replies: OOH REALLY???

Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much
Ukitaka kumla bata usimchunguze sana
 
Hahahaaa

Man! That was a Temptetation.
Better keep her off.
Utaaibika:

Nawapenda sana wanawake ambao wapo vizur upstairs, yaan manz kwenye siasa yupo, michezo yupo, mapenz yupo, uchumi yupo n.k nikikaa na manz kama huyo hua naenjoy sana na hanichoshi..

Kuna manz wa kitaa nlishawah mpga chini kwasababu ilikua kila nikiwa nae hana stori za maana zaidi ya udaku tu mara Diamond kafanya hv mara cjui Wolper anatoka na flani cjui nn dah nikaona huyu hanifai hata kidg.. Na mpk leo sijawah kumwambia kwann nlimpiga chini..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nawapenda sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo yanayonikuta mimi, kitu ninachoongea ni kumsupport yeye, kwa sababu ye kila kitu anaona ndo anajua na mimi ndo namwacha aendelee kujiona mwamba, bahati nzuri hanioni kama kilaza kwa sababu kitabu nimemzid kidogo
Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.

Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.

Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.

Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?

Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.

Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.

Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.

Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?

Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.

Demu anamjua Hadi Soko Sugi.

Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.

Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.

Demu anajua Hadi picha la Tridev.

Funny enough she was born in 1994.

Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.

She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"

Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?

After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.

Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.

Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"

Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.

And she replies: OOH REALLY???

Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu mnyamwezi sana itakuwa.Ningempata ningefurahi sana.

Afu awe na nywele za asilia mithili ya miss Mendoza.

Ila huyu demu atakuwa kwao boys wengi na obvious mtoto wa dar.

Mchizi utakuwa unamboa sana demu na minguo yako midosho.
 
Haya sapiosexual.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ulinitisha na chuki zako dhidi ya mafurushi furushi miye mpaka nikaogopa. Huwezi jua sasa hivi si ajabu hata ufurushi wote ungekuwa ushaniisha nimerudi kwenye mstari....

Nakulaumu !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its never too late dear.
 
Back
Top Bottom