Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Goodrich

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
2,091
Reaction score
1,178
Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers)

Imeweka mazingira kwa viongozi wa umma kuwa na fedha nje ya nchi ibara 29(2)(b).

Maslahi ya taifa la leo na kesho hayakuwekwa mbele na BMK kwa lengo la kuwalinda wabunge wasio na elimu ya kutosha. Mfano: Katiba pendekezwa ilitaka mbunge awe na kiwango cha elimu ya angalau kidato cha nne, lakini pendekezo hilo likaondolewa.

Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.

Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).

Lakini pia kuna mambo ya msingi yameachwa kama vile
1. Kutenganisha mihimili ya dola
2. Muundo wa serikali ikiwamo baraza la mawaziri ulipaswa kuwekwa kwenye katiba
3. Kuweka malengo, dira na sera ya kitaifa inayopaswa kutekelezwa na dola. Kazi hii kwa sasa vimeachiwa vyama vya siasa na ndio sababu kila baada ya miaka 5 au 10 tunaanza upya. Vyama vya siasa kazi yao ingekuwa ni kuelezea wanavyoweza kutekeleza sera zilizopo kwenye katiba.

Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.

Tuikatae katiba hiyo kwa kuwa :
1. Inaruhusu watumishi wa umma kuwa na fedha nje ya nchi - ibara 29(2)(b)
2. Imempa Rais madaraka makubwa sana na haina separation of powers, mfano;
- Rais ni sehemu ya Bunge 129(1)
- Rais anateua Katibu wa Bunge 151(1)
- Rais anateua wabunge 15 ibara 129(2)(b)(c)
- Rais anateua Jaji mkuu 175(1)
- Rais anateua majaji 176,177
- Rais anateua mkuu wa mahakama 202 (1)
- Rais anateua tume ya utumishi 210 (1)
- Rais anateua Mwenyekiti na viongozi wa Tume ya Uchaguzi 217(2)
- Rais anateua wajumbe wa kamati ya uteuzi 218(1)
- Rais anateua Mkurugenzi wa Uchaguzi 222(1)
- Na taasisi nyingine zote ambazo ni nyeti zipo chini ya Mwenyekiti huyu wa ccm ie 225,226,243,270,273,276 nk

3. Katiba hii ina jumla ya marais 6 ibara 80,99,164
4. Pia ibara nyingi hasa zinazohusu muundo wa nchi zinakinzana ie 1(1), 75, 76, 77, 163.

C. Tukishindwa kuamua sasa au mwaka huu kuwa na msimamo mmoja bila kujali vyama vyetu basi tutaendelea kuwa na nchi isiyoeleweka na isiyo na utaifa.

N.B
Separation of powers is a political system in which Legislative, Executive, and Judicial are kept distinct in order to prevent abuse of power and promote a system of checks and balances.
PEO_0701_separation-powers.jpeg
 
Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.

Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.

Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.

Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).

Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.
wewe utakuwa si mtanzania maana umeandika pumba tupu hapo, huna jipya kaa kimya, kwakomwewe ndo umeona hivo lkn kwa watanzania sisi imetulia
 
Goodrich and Richard aka International liers hapa mefikia ukiongoni!!! Say No No No to these satanic agent!!!! Marais 6 hata aibu hamna mnasoma msitari mmoja afu mnatafsiri!!!! Hamuelewi!

MNarukia madaraka ya Rais mnafikiri ni sawa na babu yenu....????? Nyie msiwe mazimwi dunia inawatazama nyie Rais ni madaraka ndio maana anachaguliwa na wananchi wote!nguvu yake ni wingi wa kura zake aisee kama hamlijui hilo mwende kuformat akili zenu!!!
 
Weka hoja yako vizuri !
Pia rejea hapa;
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/389550-pinda-ataka-rais-apunguziwe-madaraka.html
 
Leta katiba yako pendekezwa tuone !unayoyaandika na hoja za mkato ulizotoa ni majibu rahisi kwa maswali magumu
 
Goodrich and Richard aka International liers hapa mefikia ukiongoni!!! Say No No No to these satanic agent!!!! Marais 6 hata aibu hamna mnasoma msitari mmoja afu mnatafsiri!!!! Hamuelewi!

MNarukia madaraka ya Rais mnafikiri ni sawa na babu yenu....????? Nyie msiwe mazimwi dunia inawatazama nyie Rais ni madaraka ndio maana anachaguliwa na wananchi wote!nguvu yake ni wingi wa kura zake aisee kama hamlijui hilo mwende kuformat akili zenu!!!

Weka hoja yako vizuri !

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/389550-pinda-ataka-rais-apunguziwe-madaraka.html
 
Taifa ambalo misingi mikuu ya maamuzi na haki yanewekwa mikononi mwa mtu mmoja(Rais) haliwezi kusonga mbele hata siku moja.

Tutapata uchaguzi mbovu maana uteuzi utalenga kujaza ndugu, jamaa na maswahiba. Uwezo na weled wa mtu vitawekwa kando.

Tumesshuhudia uteuzi wa wakuu wa wilaya wa hovyo kabisa akina Makonda na Mabinti ilikuwaridhisha wazee wa ngono nk.
 
Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.

Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.

Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.

Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).

Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.

Mkuu uko vizuri kwa uchambuzi,
Hatuwezi kupigia kura hiyo katiba.
Hiyo ibara inayohusu kuwa na fedha nje ya nchi - ibara 29(2)(b) itakuwa imewekwa na Mafisadi.
Mtumishi wa umma anapata wapi fedha za kuficha nje ya nchi
???
 
wewe utakuwa si mtanzania maana umeandika pumba tupu hapo, huna jipya kaa kimya, kwakomwewe ndo umeona hivo lkn kwa watanzania sisi imetulia
Usiseme Watanzania sema wewe na familia yako including chenge na haya makitu ccm hii katiba inafaha.Do involved Tanzania people with this paper.how come mnataka kupotosha Watanzania?nyie ni wa kunyongwa kabisa.lini mwizi ukampa hatunge sheria.

swissme
 
Swissme limbwata la chenge linaendelea kukupa kick, utazimia wewe jiangalie kila saa unamtaja tu atakugharimu!!
 
Usiseme Watanzania sema wewe na familia yako including chenge na haya makitu ccm hii katiba inafaha.Do involved Tanzania people with this paper.how come mnataka kupotosha Watanzania?nyie ni wa kunyongwa kabisa.lini mwizi ukampa hatunge sheria.

swissme
WEWE PUNGUANI KWELI kwani mbna unapenda kumtaja sana huyo mzee Chenge au unataka awe mmeo? Kila uwekapo hoja lazima umtaje Chenge.
 
Mme wa nyanya yako mwuzi mkubwa wewe wa mali za umma.wewe na katiba ya chenge na familia yako

swissme
 
Back
Top Bottom