Heti mwizi anasifiwa hadi kupewa katiba ya nchi kuandika chenge na kundi lake na haya makitu ccm Wanataka kuibia Watanzani.Swissme limbwata la chenge linaendelea kukupa kick, utazimia wewe jiangalie kila saa unamtaja tu atakugharimu!!
una uhakika gani kwa hilo ulilolisema mkuu?Mh Rais alipoanzisha mchakato wa Katiba alikuwa na nia njema ya kuitoa TZ ya leo na kesho sehemu moja kwenda nyingine.
Tatizo lililoyumbisha nia hiyo njema ni misimamo ya chama chake;
https://www.jamiiforums.com/katiba-...e-kisaikolojia-muundo-wa-serikali-tatu-4.html
una uhakika gani kwa hilo ulilolisema mkuu?
LICHA ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutangaza msimamo wa kukataa serikali tatu, Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, amewataka wake wajiandae kisaikolojia kwa mabadiliko yoyote yatakayotokea kinyume na matakwa yao.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja kutoka ndani ya kikao cha Baraza la Kikatiba la Halimashauri Kuu ya CCM ambalo linapitia vifungu vya rasimu ya Katiba Mpya, Rais Kikwete aliwataka makada wenzake kujiandaa kwa lolote kama ilivyotokea mwaka 1992.
Rais Kikwete alisema mwaka 1992 idadi kubwa ya wanachama wa CCM walikataa mfumo wa vyama vingi lakini mfumo huo ulipita.
Kiongozi huyo alisema katika kikao hicho cha mwaka 1992 ilikubalika kuwa ‘wengi wapewe wachache wasikilizwe'.
Katika kikao cha jana Kikwete aliwataka wana CCM wajiandae kisaikolojia kwa jambo lolote litakaloamriwa na wananchi watakaopiga kura juu ya rasimu ya Katiba mpya.
Kwa mujibu wa chanzo cha Tanzania Daima, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro, aliwasilisha na kuchambua upungufu uliopo kwenye rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Kutokana na upungufu huo hasa katika mfumo wa serikali idadi kubwa ya makada wa chama hicho ilikubaliana kuendelea na msimamo wao wa serikali mbili.
Mara baada ya Migiro kumaliza, walisimama wajumbe kadhaa na Kikwete kumpa nafasi mmoja wao ambaye alitaka wasiendelee na suala la Katiba mpya liahirishwe mpaka baada ya mwaka 2015.
Inaelezwa kuwa mjumbe huyo kutoka Zanzibar, alijenga hoja kuwa suala la Katiba mpya halikuwa kwenye ilani ya uchaguzi wa chama hicho ya mwaka 2010.
Mjumbe huyo alisema ilani ya chama hicho ilitoa ahadi za ujenzi wa madaraja, barabara, ununuaji wa meli na nyinginezo nyingi ambazo mpaka sasa bado.
Alisema ni busara CCM ikaachana na hoja hiyo mpaka baada ya uchaguzi wa mwaka 2015.
Hata hivyo baada ya mjumbe huyo kutoa hoja hiyo, Kikwete aliwataka wajumbe wajadili mantiki ya rasimu ya Katiba mpya badala ya kufoka au kubishana.
Rais Kikwete alisema mazingira ndiyo huamua jambo fulani hivyo hakuna sababu hoja hiyo ya Katiba kutojadiliwa hivi sasa.
Inaelezwa kuwa Rais alisema licha ya asilimia 80 ya Watanzania kutoukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 hoja hiyo ilipita kutokana na mazingira.
Alisema licha ya hofu ya Watanzania juu ya mfumo wa vyama vingi bado mfumo huo umendelea kuwepo mpaka hivi sasa na umeonyesha maendeleo.
Baada ya kauli hiyo wajumbe walianza kupitia kifungu kwa kifungu Rasimu ya Katiba mpya ambapo wengi walipinga muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Msimamo wa CCM
Chama hicho tawala tangu kutoka kwa Rasimu ya Katiba kimekuwa kikisisitiza msimamo wa kutambua serikali mbili na si tatu kama ilivyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba.
Kamati Kuu (CC) iliyoketi Juni mwaka huu iliamua kuipeleka rasimu hiyo kwa wananchi wake kuanzia ngazi ya matawi na kutaka yaundwe mabaraza ya Katiba ya chama hicho.
Hata hivyo CCM ilishaweka wazi msimamo wake kuwa haitokubali muundo wa serikali tatu.
Akizungumza na Tanzania Daima, kabla ya kuingia katika kikao jana jioni, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema suala la Katiba limewachukua nafasi kubwa.
Alisema suala hilo limechukua muda mwingi kutokana na kupitia kifungu kwa kifungu na mpaka jana saa 10, walikuwa wamepitia vifungu 140.
"Tumeshindwa kuanza kikao cha Halmashauri Kuu (NEC) kama tulivyotarajia kutokana na majadiliano hayo lakini nina imani tutamaliza vizuri."
Nape alisema suala la kuingizwa kwa uraia wa nchi mbili katika Katiba Mpya nalo liliteka zaidi mjadala.
Mkuu uko vizuri kwa uchambuzi,
Hatuwezi kupigia kura hiyo katiba.
Hiyo ibara inayohusu kuwa na fedha nje ya nchi - ibara 29(2)(b) itakuwa imewekwa na Mafisadi.
Mtumishi wa umma anapata wapi fedha za kuficha nje ya nchi ???
Mme wa nyanya yako mwuzi mkubwa wewe wa mali za umma.wewe na katiba ya chenge na familia yako
swissme
Mme wa nyanya yako mwuzi mkubwa wewe wa mali za umma.wewe na katiba ya chenge na familia yako
swissme
Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.
Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.
Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.
wewe mpuuzi mchumia tumbo kojoa ukalalwe kama wasemavyo wengine, lijitu namba moja lakupingapinga hata vitu usivyovijua, hanisi mkubwa wewe.
Nasikitik ndugu yang hujui hata maan ya mchakato huyo humphrey anayetumiwa na UKAWA sik hiz kawa CCM au unatak ku associate na jamaa kujitoa baada ya kisa serikli 3 hazikupita...walizoon zitakuw na maslah kwao....hivi unajua nin maan ya RAIS? Hiv unajua hiy ni Taasis...sasa jus imagine ucmpe nguv kweny masual ya msingi hali itakuwaj...si ndo kupinduliwa kesh na kushindwa kutekelez masual ya kitaifa
Kingin ucwe bendera fuata upepo....achan na vigez vya kisiasa ...angalia mamb ya msing yanayomgus mwananchi moja kwa moja
Heti mwizi anasifiwa hadi kupewa katiba ya nchi kuandika chenge na kundi lake na haya makitu ccm Wanataka kuibia Watanzani.
swissme
Punguza mipovu hiyoo
Mkuu,
Ulitaka avibadilishe hivyo vifungu ?
Hujaeleweka
Wewe ndugu madaraka ya Rais yana shida gani. Hapa angalia Katiba Inayopendekezwa fursa inazotoa kwa watu au makundi mbali mbali ili kuinuka kiuchumi. Madaraka ya Rais yamekuwa makubwa tangu enzi lakini hayajaathiri uchumi. Kuteua wabunge kumi na tano ni kitu kizuri kwani Rais anaweza kupata watu wazuri ambao hawakugombea ubunge lakini wanafaa kuwa mawaziri akawateua tukawa na mawaziri bora. Pia naomba msaada wako katika Afrika Mashariki na Kati pia Kusini nipe nchi tano ambazo mawaziri wake hawatokani na wabunge! Hata kwa Ulaya mnakokupenda sana nitajie nchi hizo hapo ndo tutaendeleza mjadala. Lakini nakupongeza kwa kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kuvipenda vipengele vingi isipokuwa cha madaraka ya Rais na Seperation of Powers. Vingine vingi huna shida navyo. Kwa kusema hivyo Katiba hii unaipenda kwa aslimia zaidi ya 80.:majani7:Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.
Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.
Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.
Goodrich wewe ndo ujiandae kisaikolojia na kisosholojia na anthropolojia kuendelea na serikali mbili kwani hilo lilishafungwa. Nadhani hukuwa Tanzania na haukuwa na access ya network na media kujua nini kinaendelea. Nakupa pole sana!Mh Rais alipoanzisha mchakato wa Katiba alikuwa na nia njema ya kuitoa TZ ya leo na kesho sehemu moja kwenda nyingine.
Tatizo lililoyumbisha nia hiyo njema ni misimamo ya chama chake;
https://www.jamiiforums.com/katiba-...e-kisaikolojia-muundo-wa-serikali-tatu-4.html
Goodrich wewe ndo ujiandae kisaikolojia na kisosholojia na anthropolojia kuendelea na serikali mbili kwani hilo lilishafungwa. Nadhani hukuwa Tanzania na haukuwa na access ya network na media kujua nini kinaendelea. Nakupa pole sana!
Mcharo kuwa muelewa kaka.Nani kakudanganya kuwa hapo ndio mwisho wa rami
Goodrich wewe ndo ujiandae kisaikolojia na kisosholojia na anthropolojia kuendelea na serikali mbili kwani hilo lilishafungwa. Nadhani hukuwa Tanzania na haukuwa na access ya network na media kujua nini kinaendelea. Nakupa pole sana!