MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
hahahaa hivi me na wewe nani wa kutapika.. tabu yenu buku7 zinawapeleka upandeupande mpaka mnajisahau kama nchi inaenda kwenye maamuzi magumu.Babu kateka akili yenu afu kawaacha solemba,teh teh teh wee Mwalla tu hakuna cha 4 real wala nini nimekushtukia hizo jero jero ulizomeza lazima uzitapike mwaka huu, katiba mpya haiepukiki!!!!
afu!!! nimesahau hiviii tunapiga kura ya maoni lini vileee??? nikumbushe nimesahau mwanangu
View attachment 243497for KATIBA PENDEKA

