Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
wewe kwani si umezuiwa humu ndani sasa unafata nini mbona unavurugu hivyooo? Wewe mchumia tumbo ndo maana hao walokutuma wamekwa,bia ufungue id nyingine ya kuendelea kuharibu, hufanikiwi ng'oooo nakwambia, unapoteza bundle tu na pesa zao, katiba hii inapita hata kama wewe utapiga no!
hahahahaa hovyoooo.... Kweli ww hujitambui.. Najua upo kazini lumumba team kwaajili ya buku7.. Utafanyaje na ajira umeomba mwenyewe. Kaza makalio mwanangu. Kitaeleweka tu.
Watoto wa dot.com mnasheeeda yaani mmezaliwa mmenyimwa kujitambua.
WEWE MBURURA KURA LAZIMA ITAPIGWA NA NEC WATATANGAZA TENA KWANI WALISHASEMA WATATANGAZA TENA LINI SASA UNACHOMUULIZA HUYO JAMAA HAPO JUU NI KIPI? KWANZA WEWE UKO BANNED NAKUSHANGAA UNAZIDI KUNG'aNG'ana humu ndani, hutakiwi tokaaaaaaaa.afu mbona hujibu hiyo kura ya KATIBA PENDEKA inapigwa lini??? au umeshikwa na kigugumizyeee
mbavv zako nimuulize nani wakati nakuuliza wewe FALO wa LUMUMBA. huna jibu na wala hujui kama inapigwa au la!! babu yako alipata kigugumizyeee kujibu kama inapigwa au la mwishoe akaufyata na haitapigwa GEBWE weyee labada utapiga chumbani wewe na mumeoWEWE MBURURA KURA LAZIMA ITAPIGWA NA NEC WATATANGAZA TENA KWANI WALISHASEMA WATATANGAZA TENA LINI SASA UNACHOMUULIZA HUYO JAMAA HAPO JUU NI KIPI? KWANZA WEWE UKO BANNED NAKUSHANGAA UNAZIDI KUNG'aNG'ana humu ndani, hutakiwi tokaaaaaaaa.
kwa taarifa yako wewe na kampuni yenu mpango wenu umefeli. tafuteni mwingine huu wa kupiga kura umepigwa chini umechinjiliwa mtoni kuelekea baharini haupo tena. subirini october tuwafagieni kama takataka tukawamwage mtaroni.. ma.....yo zenyu
mwall and company the big ueglena type is back ha ha ha ha akizuiliwa huku anapitia dirishani huyoooo kalipwa na cdm huyo ili kuharibu forum, hupati kitu hapa!!!,
WEWE MPUMBAVU TUU NDO MAANA UKAWA BANNED HUMU JF, KUMBE KABLA YAKE TAREHE 4 mwezi wa 3 ULIFUNGUA ID NYINGINE, SASA UNAFATA NINI HUMU NDANI, KAWAULIZE NEC BASI HAYO MASWALI MAANA WAO WALISHASEMA KWAMBA MTATANGAZIWA LINI KURA ZITAPIGWA HIVYO LAZIMA KURA ZITAPIGWA, WEWE UNAANZA KUROPOKA ROPOKA TOKA ZAKO HUMU NDANI HUTAKIWI WEWE UMESHAPEWA KADI NYEKUNDU KITAMBOO.mbavv zako nimuulize nani wakati nakuuliza wewe FALO wa LUMUMBA. huna jibu na wala hujui kama inapigwa au la!! babu yako alipata kigugumizyeee kujibu kama inapigwa au la mwishoe akaufyata na haitapigwa GEBWE weyee labada utapiga chumbani wewe na mumeo
[
katika buku7 unazokula LUMUMBA umenizidi shingapi
QUOTE=MWALLA4REAL;12458319]View attachment 243556
NDO UKAWA HAO WANAVYOKUDANGANYA HAHAHAHA AMA KWELI WEWE NI MCHUMIA TUMBO, KUMBE UMETUMWA NA UKAWA, YANI HAPO NDO UMEJIDHIHIRISHA MBELE YA WANA JF KUWA WEWE NI MCHUMIA TUMBO NA UNAMILIKI IDs NYINGI KWA MALENGO YA KIPUMBAVU HAYO ULOTUMWA NA UKAWA, HAHAHAH UMENOAAAAAA, HII ITAPITA TUU UTAKE USITAKE WEWE NA HAO UKAWA WAKO MNAPOTEZA MUDA WENU BUREE, FANYENI ISHU NYINGINE NA SIO HIYO YA KUBASHIRI.kwa taarifa yako wewe na kampuni yenu mpango wenu umefeli. tafuteni mwingine huu wa kupiga kura umepigwa chini umechinjiliwa mtoni kuelekea baharini haupo tena. subirini october tuwafagieni kama takataka tukawamwage mtaroni.. ma.....yo zenyu
ACHA UTOTO MBONA UNATOKWA NA MIPOVU.. HAHAHAAA..WEWE MPUMBAVU TUU NDO MAANA UKAWA BANNED HUMU JF, KUMBE KABLA YAKE TAREHE 4 mwezi wa 3 ULIFUNGUA ID NYINGINE, SASA UNAFATA NINI HUMU NDANI, KAWAULIZE NEC BASI HAYO MASWALI MAANA WAO WALISHASEMA KWAMBA MTATANGAZIWA LINI KURA ZITAPIGWA HIVYO LAZIMA KURA ZITAPIGWA, WEWE UNAANZA KUROPOKA ROPOKA TOKA ZAKO HUMU NDANI HUTAKIWI WEWE UMESHAPEWA KADI NYEKUNDU KITAMBOO.
WEWE KIBARAKA WA UKAWA KWENDA ZAKO HUKO HUITAJIKI HUMU WEWE ENDELEA KURA JERO JERO HUKO KWENGINE LAKN SIO KWENYE HUU MCHAKATO WA KATIBA, INAONEKANA KWENU NDO MNAPATA MLO KUPITIA UKAWA KWA KAZI HIYO WALOKUPA NA BILA YA HIVO MNGEKUWA MNALALA NJAA HAPO KWENU. HAHAHA pole sana mchumia tumbo.ACHA UTOTO MBONA UNATOKWA NA MIPOVU.. HAHAHAAA..
UNATEGEA FUPA LIANGUKE NDO UPATE MLO WAKO .. Kwenndrrraaa hakuna cha KURA wala kula utasubiria mpaka OCTOBER ndo akili zitakurudia gebwe weee
mbavv zako nimuulize nani wakati nakuuliza wewe falo wa lumumba. Huna jibu na wala hujui kama inapigwa au la!! Babu yako alipata kigugumizyeee kujibu kama inapigwa au la mwishoe akaufyata na haitapigwa gebwe weyee labada utapiga chumbani wewe na mumeo
Lusajo, twambombo. Kama kweli ni Lusajo, hujitambui. Hebu piga kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa Kama babu zako UKAWA wameanza kuikubali mmoja mmoja itakuwa wewe. Ndaaga fijo kwa kunielewa.I'm voting NO.
wasaka tonge on linehuyu jamaa nimeona avatar yake ina bonge la chata banned sasa kwa jinsi alivyo mroho wa hela kaingia na id nyingine afu na mapichapicha yale yale kayahamisha kutoka id yake ya zamani kulinda ugali wake, heee kweli njaa ni mbaya ameamua kujificha nyuma ya kichuguu akafikiri hataonekana teh teh teh njaaa kalii uuuuu jamani mbavu zangu!!!
View attachment 243780I'm voting NO.
kaolewe mchumba weyeehuyu jamaa nimeona avatar yake ina bonge la chata banned sasa kwa jinsi alivyo mroho wa hela kaingia na id nyingine afu na mapichapicha yale yale kayahamisha kutoka id yake ya zamani kulinda ugali wake, heee kweli njaa ni mbaya ameamua kujificha nyuma ya kichuguu akafikiri hataonekana teh teh teh njaaa kalii uuuuu jamani mbavu zangu!!!
kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.
Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.
katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na katiba ya zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - ibara 217(2) na 222(1).
Nadhani ilikuwa vema kwa bunge maalumu kuzingatia maoni ya tume ya jaji warioba.
Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.
Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.
Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.
wewe kwani si umezuiwa humu ndani sasa unafata nini mbona unavurugu hivyooo? Wewe mchumia tumbo ndo maana hao walokutuma wamekwa,bia ufungue id nyingine ya kuendelea kuharibu, hufanikiwi ng'oooo nakwambia, unapoteza bundle tu na pesa zao, katiba hii inapita hata kama wewe utapiga no!
NA NYIE NDIO VILAZA MBURULA MLIO BURUZWA NA FISADI MAKENGEZA AND Co.Nyie ndio wale vilaza mlioambiwa na cardinal pengo kuwa hamna haki ya kumwambia mtu apige kura ya no wala yes. Kila mtu ana akili yake mwenyewe na kura ni siri ya mtu.