Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Mkuu umesahau la maadili ya viongozi wa umma na ukomo wa ubunge,na mbunge kuwajibishwa na waliomchagua.
lkn nakupongeza kwa kuyaona hayo uliyoyasema.
 
GODRICH kwa mara ya mwisho nakuuliza hao marais 6 umewapata wapi? Sinahaja ya kuendelea kusoma mchango wako maana huelewi!jibu hilo.
 
Mkuu umesahau la maadili ya viongozi wa umma na ukomo wa ubunge,na mbunge kuwajibishwa na waliomchagua.
lkn nakupongeza kwa kuyaona hayo uliyoyasema.

Acha kupoteza muda wako Katiba inayopendekezwa imeliweka wazi suala la maadili ya viongozi wa umma na watumishi wote kwa ujumla kama hukusoma na kuelewa useme acha kudanganya,ukomo wa ubunge nenda kawaulize wapiga kura walioweka wabunge wao!!unawasemea wapiga kura kwani wee nani?maamuzi yako ndo hatima yako usitegemee huruma ya katiba wakati umevurunda kwa kuchagua mbunge asiyefaa!!
 
Asante mama,sitegemei majibu nje ya haya kutoka kwa kitu maalum.
"Masharti yote nimetimiza hili la jinsia...." alijisemea mzee six.
Kinachonisikitisha ni kuona mnatumia viungo vyenu
kuliangamiza taifa,kama hamtalipa hapa basi mtalipa gharama mbinguni.
 





View attachment 243811acha kupiga mayowe katiba mpya haiepukiki
 

mbinguni mbali sana watalipa hapahapa uswazi tuwaone live labda wakimbilie MSTUNI kama kaka yao KOMBA

View attachment 243813
 
 

View attachment 243811acha kupiga mayowe katiba mpya haiepukiki
Waswahili wakasema ''CHEMA CHAJIUZA,KIBOVU CHAJITEMBEZA''
hii katibu pendekezwa ni zaidi ya kibovu maana badala ya kujitembeza mnaitembeza.
ooh,mara asasi za kidini zinazoipinga zifungiwe,oohh....
Hatudanganyiki tena,jifunzeni mapema kutafuta pesa
kwa nguvu zenu,maana za bure mwisho wake umefika.
 
Kwasabu huwa unaimbaga taarab kwakweli kipaji cha mipasho tu unacho nahc we ni shoga maana unavyoshabikia duh ni noma, Katiba hii haiepukiki ng'ooooooo itapita tu nyie mnaoikejeli mnapoteza muda wenu na mpo kimaslahi ya matumbo yenu maana c mmetumwa na UKAWA
 
Avatar yako unaonyesha ulivyo,mimi nimezaliwa na mwanamke
wewe umetokea kwenye tube,lazima tupishane kimawazo.
Aliyezaliwa na mtu ana mawazo ya utu,aliyetoka kwenye chupa ana mawazo ya chupa.
Bye
 
wewe utakuwa si mtanzania maana umeandika pumba tupu hapo, huna jipya kaa kimya, kwakomwewe ndo umeona hivo lkn kwa watanzania sisi imetulia

watanzania na nani?.acha kujumuisha watu wewe.sema wewe.KURA YA HAPANAAAAAA KWA KATIBA YA CCM
 
Katiba pendekezwa inamfanya rais awe mfalme na kunyenyekewe.anaweza akateua watoto wake.wachumba zake mademu zake.hata mambumbu hii ni hatariiiii
 
Lusajo, twambombo. Kama kweli ni Lusajo, hujitambui. Hebu piga kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa Kama babu zako UKAWA wameanza kuikubali mmoja mmoja itakuwa wewe. Ndaaga fijo kwa kunielewa.

Ndugu mbalamwezi usijichoshe kuhusu mimi. Wauzie chai utakaowakamata. Nakosa muda tu wa kuandika mapost marefu hapa ila naiandaa taratibu kwa kujiiba iba. Itakuwa na mashiko. Nikikamilisha nitaibukia hapa hapa Jf.

Lakini, hivi wakati mnapambana na watu wawili hapa jf mnaelewa kinachoendelea huku makanisani?

Nimetembelewa na bibi yangu nyumbani hapa anaiogopa hiyo katiba kama ugonjwa hatari na anatoka njombe amejiandikisha. Kwa kifupi kazi mnayo kutoa maoni ya maaskofu kwa wakristo mamilioni ambao lile somo la maaskofu wameliweka moyoni sio kichwani.

Kelele za hapa kijiweni na kutukanana bila sababu zinatuchora sana ndugu yangu. We angalia tu post yote ina ID ngapi na views ngapi. Viongozi wenyewe wa serikali wanauelewa huu mziki ndio maana unakuta wana unyenyekevu fulani
 
Avatar yako unaonyesha ulivyo,mimi nimezaliwa na mwanamke
wewe umetokea kwenye tube,lazima tupishane kimawazo.
Aliyezaliwa na mtu ana mawazo ya utu,aliyetoka kwenye chupa ana mawazo ya chupa.
Bye
Aisifiae mvua ujue imemnyea, kwahiyo unayoasema hapo ndo jinsi ulivyo, kilaza tuu huwezi kuweka hoja, kojoa ukalalwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…