Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

sijui kwa nini vyuo vile vizuri duniani kama Cambridge inachukua watu ma TO tu,afu uqualify hivyo vyuo ukose kutoboa mtaani? mnhhh haiingii
Rebeca wanaqualify ili waje waajiriwe Azam company limited au Wasafi Media walipwe mshahara Maisha yao yote na Mabosi wasio na shule ambao hawajawahi kuwa MaTO wala kufika chuo.
 
Last edited:
sijui kwa nini vyuo vile vizuri duniani kama Cambridge inachukua watu ma TO tu,afu uqualify hivyo vyuo ukose kutoboa mtaani? mnhhh haiingii
Haiwezekani, kwanza graduand wa Harvard au Cambridge ukigraduate tu watu wanakuona lulu, kutoboa life inakuwa km kumsukuma mlevi aliyesimama mguu mmoja, watu wote walioshika nafasi za juu utajiri duniani ni majamaa wenye akili sana, sio km wale vijana nilioachana nao vichakani walioona shule upotevu wa muda, wale sahv mateja tu
 
Rebeca wanaqualify ili waje waajiriwe Azam company limited au Wasafi Media walipwe mshahara Maisha yao yote.

Mkuu kwa hio ulitaka wasomi wote wawe na kampuni binafsi??kuna kosa kuajiriwa???huyo unayemsema hata yeye ana ma engineer anaowalipa..kuajiriwa haimaanishi hawatumii vyema taaluma zao...
 
sijui kwa nini vyuo vile vizuri duniani kama Cambridge inachukua watu ma TO tu,afu uqualify hivyo vyuo ukose kutoboa mtaani? mnhhh haiingii
Kudos love..... kuna ma TO wawili nawafahamu wanamaisha mazuri kuna huyu mmoja anaitwa George assenga T.O7 both o level and advance.....

Jamaa bachelor na masters kachukulia liverpoool university kwa sasa kwa mwezi analipwa pesa nyingi na yuko mbali sana.....

Ma T.O wengi wanajielewa wachache sana ambao hawahafanikiwa labda elias kihombo yule TO wa 2006.....
 
Mkuu kwa hio ulitaka wasomi wote wawe na kampuni binafsi??kuna kosa kuajiriwa???huyo unayemsema hata yeye ana ma engineer anaowalipa..kuajiriwa haimaanishi hawatumii vyema taaluma zao...
Kuna kosa kubwa sana kuajiriwa TO kwanini uwe TO utuongozee taifa zima afu uajiriwe kirahisi rahisi tu ulipwe mshahara wa TGS!?

Bora waajiriwe wale wa kawaida TO unatakiwa uje na innovative ideas zako.
 
Rebeca wanaqualify ili waje waajiriwe Azam company limited au Wasafi Media walipwe mshahara Maisha yao yote.
Hili jamaa halijielewi: chukulia mfano hivi, umeanzisha kiwanda chako cha kutengeneza cement mfano, unahitaji operator wa mashine anayejielewa shule ipo ipo kidogo...akina wewe humble african, anasimamiwa na engineer wa kiwanda...akina TO, unahitaji maacountant walio vizuri sana kichwani...sio akina wewe humble african..wale wazuri wenye maCPA etc, wanasimamiwa na wakuu wao machief accountant au chief of finance...sio akina ww humble african..ni wenye masters etc, hao wote wanaripoti kwa board of directors wa kampuni, huko inategemea umeingiaje, so hata CEO au Mmiliki wa kampuni akiwa mbumbumbu lazima awepo wakubwa wenzie wanaomshauri na kumpa mwelekeo wa kitu gani kinaendaje, usidanganyike mkuu, hawez kufanya kitu bila kumtegemea mtu wa chini yake
 
Kuna siku Bill Gates alihojiwa kama bado anendelea kuandika code kwenye matoleo ya Microsoft Windows, alijibu kuwa kwa kizazi hiki kinavyokuwa kwa kasi idea zake na uandishi wake ushapitwa na wakati anawaachia waliobobea kwenye hiyo fani wafanye wanavyoona inafaa, yeye atabaki kuwa kiongozi tu na kuhakikisha mambo yanaenda km yanavyopaswa, so ukiwa vizuri darasani unapasua tu...given, km vile x=1, end of equation.
 
Kudos love..... kuna ma TO wawili nawafahamu wanamaisha mazuri kuna huyu mmoja anaitwa George assenga T.O7 both o level and advance.....

Jamaa bachelor na masters kachukulia liverpoool university kwa sasa kwa mwezi analipwa pesa nyingi na yuko mbali sana.....

Ma T.O wengi wanajielewa wachache sana ambao hawahafanikiwa labda elias kihombo yule TO wa 2006.....
Elias Kihombo unampata mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kosa kubwa sana kuajiriwa TO kwanini uwe TO utuongozee taifa zima afu uajiriwe kirahisi rahisi tu ulipwe mshahara wa TGS!?

Bora waajiriwe wale wa kawaida TO unatakiwa uje na innovative ideas zako.

kosa lipi?? naona ushakariri TO aje na mawazo yake...kwako kuajiriwa ni dhambi??,...kuna watu wameajiriwa wanalipwa vizuri tu na taaluma zao wanazitumia ipasavyo…..kuajiri ama kuajiriwa mtu ana weigh options zake kisha anajiongeza mwenyewe……..unataka kila mtu awe enterprenuer nani atabaki mfanyakazi?
 
Rebecca ukijua sababu kwanini Benjamin Fernandez aliacha mshahara wa milion 400 kwa mwezi ndio utajua kwanini wasomi wakubwa sana wanakuwa trapped na cycle of poverty.

Mcheck hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...BRAB&usg=AOvVaw0MRPuVTXdGPPA8vMDt3DIs&ampcf=1
 
Nelson Mwombeki upo sahihi binafsi wote waliokuwa vipanga ninaowafahamu wapo vizuri tu na tunajuana huyu yuko wapi huyu yuko wapi ,kama mtu hajawa sawa jua kuna mtihani umemkumba karudi nyuma ila nae anajipanga akinyanyuka hapo atakuwa sawa tu,mwenye akili ana akili tu.Naamini kabisa injinia yuko safi humu anatuchora tu.
Huyu huyu aliyekua anaomba ushauri humu jf amekopa 4mil anataka aache kazi,akawa anaomba ushauri kama anaweza kuchukuliwa hatua akifanya hivyo.
 
Back
Top Bottom