supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Life has no formula, kuna T.O tulisoma nae darasa moja miaka yetu enzi hzo, huyu dogo alikuwa mtoto wa Senior Officer wa Military, alitamba sana kwenye magazeti ya enzi zile kabla hata social media hazijaanza kivile.....nakumbuka darasani kwetu mimi nilipata daraja la pilu form six, na kwa shule ile nilionekana kama nimefeli fulani hv....
Ila sasa hivi T.O wetu wa enzi zile ni msela wangu ambaye namkopa sana pesa za kuilinda familia yake, pamoja na kwamba alimaliza UD na GPA la hatari na mimi nikasoma vyuo vya kata, ila wote tupo 'SU' ila nikamzidi mnoooooo kutokana na course alochagua kusoma chuo kwa sifa ya GPA yake