Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Life has no formula, kuna T.O tulisoma nae darasa moja miaka yetu enzi hzo, huyu dogo alikuwa mtoto wa Senior Officer wa Military, alitamba sana kwenye magazeti ya enzi zile kabla hata social media hazijaanza kivile.....nakumbuka darasani kwetu mimi nilipata daraja la pilu form six, na kwa shule ile nilionekana kama nimefeli fulani hv....

Ila sasa hivi T.O wetu wa enzi zile ni msela wangu ambaye namkopa sana pesa za kuilinda familia yake, pamoja na kwamba alimaliza UD na GPA la hatari na mimi nikasoma vyuo vya kata, ila wote tupo 'SU' ila nikamzidi mnoooooo kutokana na course alochagua kusoma chuo kwa sifa ya GPA yake
 
Yaap mambo hayo yapo, kabugi step
 
@amu wewe ni mwanamke mrembo mwenye natural beauty with brain... Kumpa nafasi huyu mjambaji wa kwenye dalaladala akutumie pesa ni hatari sana maana muamala unaweza kufika na harufu Kali sana ya ushuzi majnuni.[emoji23] [emoji23]

Kuna incident ilitokea juzi jamaa alijamba akamsingizia mtoto....tukakataa!! Ule ushuzi sio wa mtoto...sasa sijui ni huyu injinia majalala maana ilikuwa kwenye daladala... amu please Ruuuuuun!

You deserve something good in your life swry lady amu sio ushuzi.View attachment 823836
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Una maneno sana
 
mng'ato niamini hizo mbwembwe tu za jf,injinia yuko vizuri tu japo mpaka sasa muamala haujathibitishwa.
Hahah sawa mkuu lkn kumbuka alisemaga anapata mamilion kila week huko forex mara paap thread ya kukopa na kukimbia kazi hahah.
 
hizo sifa zote ni za kwangu humble?ahsante ila hiyo screenshot imenchekesha sana
@amu wewe ni mwanamke mrembo mwenye natural beauty with brain... Kumpa nafasi huyu mjambaji wa kwenye dalaladala akutumie pesa ni hatari sana maana muamala unaweza kufika na harufu Kali sana ya ushuzi majnuni.[emoji23] [emoji23]

Kuna incident ilitokea juzi jamaa alijamba akamsingizia mtoto....tukakataa!! Ule ushuzi sio wa mtoto...sasa sijui ni huyu injinia majalala maana ilikuwa kwenye daladala... amu please Ruuuuuun!

You deserve something good in your life swry lady amu sio ushuzi.View attachment 823836
 
hizo sifa zote ni za kwangu humble?ahsante ila hiyo screenshot imenchekesha sana
Wewe sio mwanamke mediocre... Una daraja lako flani hivi classy and not trashy.

Nina screenshots za upuuuzi wa huyu injinia kibao sana nimezitunza kama reserve weapon in case akizingua nambomoa nazo. Ila huwa nikiwa bored and depressed nazipitia nacheeeka hadi natokwa machozi. Ana upuuzi wake mwingi sana humu JF.

Kwanza kakutumia ule muamala au ndio alikuwa anajipapatua tu mbele ya washika dau?
 
ila humble una maneno sana jamani kweli HKL imefanya kazi huku mimi nacheka hoi bin taaban,hajatuma bado labda mtandao unasumbua ha ha ha ha
 
ila humble una maneno sana jamani kweli HKL imefanya kazi huku mimi nacheka hoi bin taaban,hajatuma bado labda mtandao unasumbua ha ha ha ha
Anyways, labda mtandao umekuwa mtandio Ndio maana hatumi hiyo hela.

Ila ninachojua huyu fala ni maskini hadi majambazi wakimvamia hawatoki na kitu zaidi ya "experience" tu! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hawezi kutaka kukopa milion tano akimbie kibarua afu awe na jeuri ya kutoa elfu 50 kwa mtoto mzuri amu... Hawezi....akiweza na Mimi namjibu kwa kumpa amu laki...!

#atoe elfu 50 tumkubali now.
 
The salary for a CCNP certified professional kick starts at $41,022 as per the latest figures by Payscale.com and ranges up to a whopping $133,590 as seniority of position increases.
 
Nimekusoma,lakini sijaelewa huyo MNAFIKI (alofurumushwa TMT na chupi kichwani) anaingia vipi kwenye promise yetu. Unanichefua kulitaja LINAFIKI kwenye romantic deal between me and you.

But worry out. Niko site nje ya mji.
When I am back at town I will do it.

i love you amu.
Yaani we dogo ulivyokuwa na akili fupi kama maisha ya funza unaamini kabisa amu anakufeel deep down!? Hujui tu huko aliko anacheeeka. Nani anataka kujambiwa all night long..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti Niko site nje ya mji? Swali jepesi tu mtani wewe ni engineer wa ishu gani?
 
MISURI TEMBO HAWATOBOI KIMAISHA KWASABABU WANAJIFANYA WAJUAJI SANA ALAFU HAWAOGOPI KUFELI.. SASA WANATUMIA HIYO DHANA KATIKA MAISHA..

MAISHA UNATAKIWA UYAOGOPE KWANZA.. HII INAJENGA UWEZO WA KUYAKABILI KWA UMAKINI KULIKO KUYAINGIA KICHWA KICHWA.. UKIJIPA USHINDI KABLA YA MPAMBANO..
Kwangu naona umeandika kinyume, kwa mantiki hiyo nadhani misuli tembo hawatoboi kwa sabanu wanaogopa kufeli ndio maana hata shule wanapiga misuli mirefu ili wasifeli tofauti na maisha ambayo hupaswi kuogopa kufeli. Ukifeli leo kesho unaamka tena unaaanza upya mpk kufikia lengo. Kuogopa maisha kutakupa stress hata malengo hutayafikia kwa sababu ya hofu. Fear is a sickness
 
You real blessing my feelings, mind and psychology. I bet your IQ to be equivalent to those brightest people.

I think we could take this as a starting point to take our relationship to the next level. The rest will be history.

Are you married, anyway?? Sorry.
ooooops ahsante kwa mapendo hayo ila mimi bana nimeolewa mama wa watoto watatu,ila muamala uko pale pale nausubiri
 
Back
Top Bottom