rmvicentrm
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 147
- 26
Rebeca wanaqualify ili waje waajiriwe Azam company limited au Wasafi Media walipwe mshahara Maisha yao yote na Mabosi wasio na shule ambao hawajawahi kuwa MaTO wala kufika chuo.sijui kwa nini vyuo vile vizuri duniani kama Cambridge inachukua watu ma TO tu,afu uqualify hivyo vyuo ukose kutoboa mtaani? mnhhh haiingii
Haiwezekani, kwanza graduand wa Harvard au Cambridge ukigraduate tu watu wanakuona lulu, kutoboa life inakuwa km kumsukuma mlevi aliyesimama mguu mmoja, watu wote walioshika nafasi za juu utajiri duniani ni majamaa wenye akili sana, sio km wale vijana nilioachana nao vichakani walioona shule upotevu wa muda, wale sahv mateja tusijui kwa nini vyuo vile vizuri duniani kama Cambridge inachukua watu ma TO tu,afu uqualify hivyo vyuo ukose kutoboa mtaani? mnhhh haiingii
Rebeca wanaqualify ili waje waajiriwe Azam company limited au Wasafi Media walipwe mshahara Maisha yao yote.
Kudos love..... kuna ma TO wawili nawafahamu wanamaisha mazuri kuna huyu mmoja anaitwa George assenga T.O7 both o level and advance.....sijui kwa nini vyuo vile vizuri duniani kama Cambridge inachukua watu ma TO tu,afu uqualify hivyo vyuo ukose kutoboa mtaani? mnhhh haiingii
Kuna kosa kubwa sana kuajiriwa TO kwanini uwe TO utuongozee taifa zima afu uajiriwe kirahisi rahisi tu ulipwe mshahara wa TGS!?Mkuu kwa hio ulitaka wasomi wote wawe na kampuni binafsi??kuna kosa kuajiriwa???huyo unayemsema hata yeye ana ma engineer anaowalipa..kuajiriwa haimaanishi hawatumii vyema taaluma zao...
Hili jamaa halijielewi: chukulia mfano hivi, umeanzisha kiwanda chako cha kutengeneza cement mfano, unahitaji operator wa mashine anayejielewa shule ipo ipo kidogo...akina wewe humble african, anasimamiwa na engineer wa kiwanda...akina TO, unahitaji maacountant walio vizuri sana kichwani...sio akina wewe humble african..wale wazuri wenye maCPA etc, wanasimamiwa na wakuu wao machief accountant au chief of finance...sio akina ww humble african..ni wenye masters etc, hao wote wanaripoti kwa board of directors wa kampuni, huko inategemea umeingiaje, so hata CEO au Mmiliki wa kampuni akiwa mbumbumbu lazima awepo wakubwa wenzie wanaomshauri na kumpa mwelekeo wa kitu gani kinaendaje, usidanganyike mkuu, hawez kufanya kitu bila kumtegemea mtu wa chini yakeRebeca wanaqualify ili waje waajiriwe Azam company limited au Wasafi Media walipwe mshahara Maisha yao yote.
Elias Kihombo unampata mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kudos love..... kuna ma TO wawili nawafahamu wanamaisha mazuri kuna huyu mmoja anaitwa George assenga T.O7 both o level and advance.....
Jamaa bachelor na masters kachukulia liverpoool university kwa sasa kwa mwezi analipwa pesa nyingi na yuko mbali sana.....
Ma T.O wengi wanajielewa wachache sana ambao hawahafanikiwa labda elias kihombo yule TO wa 2006.....
Kuna kosa kubwa sana kuajiriwa TO kwanini uwe TO utuongozee taifa zima afu uajiriwe kirahisi rahisi tu ulipwe mshahara wa TGS!?
Bora waajiriwe wale wa kawaida TO unatakiwa uje na innovative ideas zako.
Rebecca ukijua sababu kwanini Benjamin Fernandez aliacha mshahara wa milion 400 kwa mwezi ndio utajua kwanini wasomi wakubwa sana wanakuwa trapped na cycle of poverty.kosa lipi?? naona ushakariri TO aje na mawazo yake...kwako kuajiriwa ni dhambi??,...kuna watu wameajiriwa wanalipwa vizuri tu na taaluma zao wanazitumia ipasavyo…..kuajiri ama kuajiriwa mtu ana weigh options zake kisha anajiongeza mwenyewe……..unataka kila mtu awe enterprenuer nani atabaki mfanyakazi?
Hahahahaaaaa we kilaza kweli, Fernandez alishindwa na hakupewa mkataba wa kuajiriwa na microsoftRebecca ukijua sababu kwanini Benjamin Fernandez aliacha mshahara wa milion 400 kwa mwezi ndio utajua kwanini wasomi wakubwa sana wanakuwa trapped na cycle of poverty.
Mcheck hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...BRAB&usg=AOvVaw0MRPuVTXdGPPA8vMDt3DIs&cf=1
MamAaaa kuna mtu kaitwa kilaza hapa Humble AfricanHahahahaaaaa we kilaza kweli, Fernandez alishindwa na hakupewa mkataba wa kuajiriwa na microsoft
Huyu huyu aliyekua anaomba ushauri humu jf amekopa 4mil anataka aache kazi,akawa anaomba ushauri kama anaweza kuchukuliwa hatua akifanya hivyo.Nelson Mwombeki upo sahihi binafsi wote waliokuwa vipanga ninaowafahamu wapo vizuri tu na tunajuana huyu yuko wapi huyu yuko wapi ,kama mtu hajawa sawa jua kuna mtihani umemkumba karudi nyuma ila nae anajipanga akinyanyuka hapo atakuwa sawa tu,mwenye akili ana akili tu.Naamini kabisa injinia yuko safi humu anatuchora tu.