Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Kweli amehaidi akitoka site...ngoja nisubiri nione maana huu ugomvi wetu unaweza kumalizwa na mwenye hela zaidi ya mwenzie pia...amesema anatuma elfu 50...na Mimi nimehaidi akituma 50 natuma laki. Sitaki dharau!

Huyu ndio TO engineer wa kwanza maskini kabisa nchi za nje kinyerezi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Akituma hiyo pesa siingii tena JF maisha yangu yote. I swear!!!
Humble nakuonea huruma ujue Intelligence tutakukosa man injinia hawezi kuniunganisha msomi mwenzie wa pure mathematics tumepiga wote pure 1 na pure 2 nauhakika kabanwa tu akitulia kutoka site atatuma au vipi CCNP Engineer naona dogo wa HKL anataka kututunishia mabavu watu wa science
 
Nelson Mwombeki upo sahihi binafsi wote waliokuwa vipanga ninaowafahamu wapo vizuri tu na tunajuana huyu yuko wapi huyu yuko wapi ,kama mtu hajawa sawa jua kuna mtihani umemkumba karudi nyuma ila nae anajipanga akinyanyuka hapo atakuwa sawa tu,mwenye akili ana akili tu.Naamini kabisa injinia yuko safi humu anatuchora tu.
Aliyesoma kasoma tu![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!kujikwaa kupo
 
Duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mwanaume ambae yuko vizuri kichwani nampenda sana tatizo CCNP Engineer mdogo sana kwangu anaenda Ilboru Advance mimi nimeshapambana na Kibacha kwenye business law ,nishakula supp ya cost accounting,nishamalizana na corporate finance yaani niko chuo huko mwishoni mwishoni angekua agemate sawa nani asiyetaka kuwa mama T.O pengine tungezaa katanzania one kadogo
 
Last edited:
Umeona best sasa ndo Engineer atuokoe wasomi wenzako maana hapa humble atatudharau sana muamala usipothibitishwa
Engineer huyu ni maskini hadi chai huwa ananywea kwenye kifuniko cha pen ya BIC? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Simchukii, namdharau...akikupa pay siingii tena JF eternity. I bet.
 
Umeona best sasa ndo Engineer atuokoe wasomi wenzako maana hapa humble atatudharau sana muamala usipothibitishwa
[emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sanaa tu!amu ukitumiwa Mimi buku 10 tu
Halafu asipotuma H kunani watatutukana sanaa eti
 
Hizo ban zisikuogopeshe ni za uonevu kuna mod atakuwa ananitaka anashindwa kuniambia au kama mwanamke ananionea wivu nikikohoa ban nikisema mapugi ban
[emoji15] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sawa
 
Back
Top Bottom