Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

mwanaume ambae yuko vizuri kichwani nampenda sana tatizo CCNP Engineer mdogo sana kwangu anaenda Ilboru Advance mimi nimeshambana na Kibacha kwenye business law ,nishakula supp ya cost accounting,nishamalizana na corporate finance yaani niko chuo huko mwishoni mwishoni angekua agemate sawa nani asiyetaka kuwa mama T.O pengine tungezaa katanzania one kadogo

Hiyo B'nes law kuna muhindi mmoja namkumbuka kwenye UE alitupa Swali la Scenario kwenye Hire purchase yani mpaka leo naotaga nipo Chumba cha mtihani halaf nimebaki peke yangu sina nilichojaza naambiwa zimebaki nusu saa..
 
Ipite tu mm nishajizoelea tu halafu kama wanajua wananikomoa mm wala hawanikomoi na ban zao za uonevu
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakukomoe kwani ukipigwa ban huli,hunyi,halali?
 
Mvumilivu hula mbivu mimi nimrfunzwa kuvumilia bana namvumilia injinia wangu
Naamini hawezi kuniumbua Kwa kutuma hiyo hela.

Nawajua Mainjinia wa aina CCNP engineer wamefulia sana....yaani asubuhi asubuhi huko site wanafakamia mapera na sungwi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Njaa Kali!
 
Waoooo thats why i love you injinia i have accepted your terms and conditions i will zip my mouth (japo nawaza ile laki ingine naipataje)
Angalizo:
amu naomba pindi utakapopokea ahadi yangu usitangaze public kuwa nimekutumia pesa yoyote ile.


kuna vimbulu (paka shume) wamesimamisha masikio yao wanasubiri useme umetumiwa pesa na Engineer waanze kubwatuka kuwa najionesha, najidai.

Engineers' we don't talk shit. We use 90% of our time to plan, design, implement then we let the society judge our work.

Thanks for being patient. Chao.
 
Back
Top Bottom