Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
mwanaume ambae yuko vizuri kichwani nampenda sana tatizo CCNP Engineer mdogo sana kwangu anaenda Ilboru Advance mimi nimeshambana na Kibacha kwenye business law ,nishakula supp ya cost accounting,nishamalizana na corporate finance yaani niko chuo huko mwishoni mwishoni angekua agemate sawa nani asiyetaka kuwa mama T.O pengine tungezaa katanzania one kadogo
Hiyo B'nes law kuna muhindi mmoja namkumbuka kwenye UE alitupa Swali la Scenario kwenye Hire purchase yani mpaka leo naotaga nipo Chumba cha mtihani halaf nimebaki peke yangu sina nilichojaza naambiwa zimebaki nusu saa..