bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Nimsaidie kujibu CCNP Engineer kujibu hili swali maana kwake limekuwa gumu na analikwepa kila akiliona,Yy ni Engineer wa mitaro ya majitaka so hata kule kujamba ni side effect ya kuwa Too much exposed kwenye zile harufu hivyo haonagi tofauti ya hewa safi na iliyokuwa polluted na mashuzi yake.I hope nimetoa msaada kidogo kwa ndugu TO japo najua ameshatumbukia shimoni kwake.We mjambaji tuachane na hayo shemeji kashatengua kauli yake ya awali na amekuachia upambane na hali yako.
Nikuulize wewe ni engineer katika field gani? Civil engineering? Aerospace engineering au?