bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Nimsaidie kujibu CCNP Engineer kujibu hili swali maana kwake limekuwa gumu na analikwepa kila akiliona,Yy ni Engineer wa mitaro ya majitaka so hata kule kujamba ni side effect ya kuwa Too much exposed kwenye zile harufu hivyo haonagi tofauti ya hewa safi na iliyokuwa polluted na mashuzi yake.I hope nimetoa msaada kidogo kwa ndugu TO japo najua ameshatumbukia shimoni kwake.We mjambaji tuachane na hayo shemeji kashatengua kauli yake ya awali na amekuachia upambane na hali yako.
Nikuulize wewe ni engineer katika field gani? Civil engineering? Aerospace engineering au?
Mi mwanayeAhahaha!! Umenisuprize Mkuu!! I didn't see it coming. Mbona hii ID umependeza kuliko ile ya awali?
[emoji119]
Hongera!! Mmefanana sana...yaani copyright copyandika. [emoji23]Mi mwanaye
Its not better kujisifia sana mbele ya watu kuhusu matokeo yako hadharan kila mtu angeweka results zake hapa nadhan tungekimbia mfn mh kiranga akiweka results zake hapa ... Nliona anashaur madg kuhusu kusoma of coz ni vzur ila hakukua na ulazma wa kuweka results ....#njia nzuri ya kujisifia ni kwa kumsifia mtu mwingine ... Cc..dady swaleheAhahaha!! Umenisuprize Mkuu!! I didn't see it coming. Mbona hii ID umependeza kuliko ile ya awali?
[emoji119]
Baba bangi sana ila ana mazur yakeHongera!! Mmefanana sana...yaani copyright copyandika. [emoji23]
Ndio maana kuna siku alijamba akamsingizia mtoto...tukakataaa! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimsaidie kujibu CCNP Engineer kujibu hili swali maana kwake limekuwa gumu na analikwepa kila akiliona,Yy ni Engineer wa mitaro ya majitaka so hata kule kujamba ni side effect ya kuwa Too much exposed kwenye zile harufu hivyo haonagi tofauti ya hewa safi na iliyokuwa polluted na mashuzi yake.I hope nimetoa msaada kidogo kwa ndugu TO japo najua ameshatumbukia shimoni kwake.
Hakuna muhandisi ambaye anashindwa kuficha ujinga wake kama wewe kuwa mkweli tu kuwa wewe ni mkunga (midwife )Kwani PUGI ni jina la mtu au ni tabia???
Kama mmoja ana tabia za kishoga na una uhakika kabisa kuwa kwa tabia hizi huyu mwanaume ni shoga.
Then mwenzake nae ana tabia kama za huyo shoga, kuna haja ya kujiuliza tena hapo???
Acha kupepesa maneno dada yangu, simamia kauli na hisia zako. Usibabaishwe na vibweko vya nyuma ya keyboards.
PUGI ni PUGI. Haijalishi awe ni Juma au Masanja, tunacho tazama ni tabia.
Ballagh-Shaytwain mufilis
Kama Wewe unavyofanyaga Mzaha na swala la uwepo wa MUNGU!Kama wanajuana au hawajuani ni kitu tofauti.
Kama kumtukania mtu mama yake ni jambo la aibu katika jamii, haijalishi kwamba watu wanajuana au hawajuani, kumtukania mtu mama yake linakuwa jambo la aibu.
Tatizo, tumefanya jambo la suicide kuwa dogo sana, imekubalika kufanyiwa mzaha.
I could care less about who is mocking who.
My point is, suala la suicide limefanyiwa mzaha.
Acha ufala dogo kaanue zile boksa zako njeBaba bangi sana ila ana mazur yake
Bora angekuwa anajisifia afu tunaona effects yake mtaani na hata kwenye mitkasi yake...yote hola! Hana mke mkali, hana ndinga kali, anatapeliwa kifara kwenye Forex, hana hela, afu Anajisifia na kujifanya anawaonyesha vijana namna ya kupata A+ Kali afu ana thread ya kutaka kukopa na kukimbia kibarua na nyingine ya kulalamika kwamba punyeto inataka kumuua...pumbafu zangu!! Ohooo sorry..I mean pumbafu zake!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Its not better kujisifia sana mbele ya watu kuhusu matokeo yako hadharan kila mtu angeweka results zake hapa nadhan tungekimbia mfn mh kiranga akiweka results zake hapa ... Nliona anashaur madg kuhusu kusoma of coz ni vzur ila hakukua na ulazma wa kuweka results ....#njia nzuri ya kujisifia ni kwa kumsifia mtu mwingine ... Cc..dady swalehe
Acha ufala dogo kaanue zile boksa zako nje
MhBaba bangi sana ila ana mazur yake
Humble huyo dgo scientist fala sana wiki ya pili hii ananibembeleza nmfundishe kutongoza ... Et ulimpataje mama ... ?Bora angekuwa anajisifia afu tunaona effects yake mtaani na hata kwenye mitkasi yake...yote hola! Hana mke mkali, hana ndinga kali, anatapeliwa kifara kwenye Forex, hana hela, afu Anajisifia na kujifanya anawaonyesha vijana namna ya kupata A+ Kali afu ana thread ya kutaka kukopa na kukimbia kibarua na nyingine ya kulalamika kwamba punyeto inataka kumuua...pumbafu zangu!! Ohooo sorry..I mean pumbafu zake!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anijibu haraka amesoma engineer ya ishu gani unless naingia chimbo kusakua mwenyewe...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh
Kwahiyo siku hizi na ww umefikia huku kijibishana na i'd yako nyingine woiiii jf pekee ndio kuna hizi mambo
Ahahaha!! Mkuu kurlzawa niachieni huyu asije sema tulimpiga mande wengi... Nataka kuzaa nae Mimi mwenyewe.Hakuna muhandisi ambaye anashindwa kuficha ujinga wake kama wewe kuwa mkweli tu kuwa wewe ni mkunga (midwife )
Kama hujanijua mimi ni mtu wa masihara basi sawa mi ndo nlivyo matan utan jokes silah .. Mangala ... Sipend ila napendMh
Kwahiyo siku hizi na ww umefikia huku kijibishana na i'd yako nyingine woiiii jf pekee ndio kuna hizi mambo
Yaani nikiiona na hiyo avatar yako ya Charlie Chaplin na jinsi unavyojiuliza maswali na kujijbu kwa ID zako hizo mbili...nacheeeka hadi machozi yanatoka mkuu! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha ufala dogo kaanue zile boksa zako nje
Ndo nlvyo mkuu ....Yaani nikiiona na hiyo avatar yako ya Charlie Chaplin na jinsi unavyojiuliza maswali na kujijbu kwa ID zako hizo mbili...nacheeeka hadi machozi yanatoka mkuu! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Comedic gold!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humble huyo dgo scientist fala sana wiki ya pili hii ananibembeleza nmfundishe kutongoza ... Et ulimpataje mama ... ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie jamaa mnamzingua sana engineerHumble African engineer Kaja huku,Wahiiii kabla hajaingia shimoni.
Kuna muda hadi mimi huwa najicheka ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa unanikosha sana ndugu yangu! Loh!