Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie jamaa mnamzingua sana engineer
Engineer anafurahisha sana.... Ina baada ya kukosa air support karudi tena kwenye handaki.. Hana vita za kimama sana.

Wewe CCNP Engineer acha umama njoo tupambane huku.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!!
 
Nakuachia mtoto mrembo uyo uishi nae kwa amani
 
Nakuachia mtoto mrembo uyo uishi nae kwa amani
Mkuu mnaniachia mtoto kwenye mazingira magumu sana... Ana bikra sasa chumbani ni vurugu tupu.. Kanaogopa mkuyenge! Kanajificha chini ya uvungu.

Njooni tukatoe kwanza! Nikavunje!
 
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Akili yako unaijua mwenyewe tu mkuu! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaweza hata kuwa unajitumia text inbox kwa same ID zako... Just to keep yourself in touch. [emoji23]
Kuna siku nliona nna upweke mno ... Nmekaa na paka tu ndan panya kawala wote .. Nzi hazipo ... Hata mende ulkua upweke uliopitiliza hadi nyau akimyuu usiku naitika naam tunakaa tunachek tv mpk ikafka stej naamka najtumia text bebi umeamkaje ... Hafu najjbu sijala leo ... Yaan daah ilifika stage mbaya sana nashukuru we mwanamke ulyenipenda ... Maana dooh ulilipenda domo zege ... Mpaka mshua alinipeleka cambodia kujfunza kutongoza assante mi hae
 
Mkuu mnaniachia mtoto kwenye mazingira magumu sana... Ana bikra sasa chumbani ni vurugu tupu.. Kanaogopa mkuyenge! Kanajificha chini ya uvungu.

Njooni tukatoe kwanza! Nikavunje!
Aisee anakudanganya sio bikra uyo anagawa sana tena wadau wanagonga mno ikulu
 
Engineer amesomea Telecommunication Engineering, kwahiyo kwahiyo akisema yupo site ujue yuko either kwenye mnara wa tigo au voda i guess....hahaha
 
Engineer amesomea Telecommunication Engineering, kwahiyo kwahiyo akisema yupo site ujue yuko either kwenye mnara wa tigo au voda i guess....hahaha
Ahahaha!! Na sidhani kama kasomea kwenye zile prestige university.. Huyu atakuwa ni product ya Zion au Datastar training college. Aajiriwe kwenye minara alinge! Kuna uwezekano akawa Kariakoo anarepair simu za Tecno.

Kuna mtu mtaalamu kama Chief-Mkwawa kwenye masuala ya ICT hapa JF!? Lakini sijawahi kusikia akijinadi na wala kutambia wengine... Yeye hata saa nane za usiku ukiuliza swali ukamtag anakuattend.....!

Bitch be humble... Sit down!
 
Umeaomea udsm mkuu
 
Shikamoo H kunank sio kwa mineno hyooo
Don't tease a person if you can't please him.. Amejifunza somo Ndezi yule!

Kwanza anamfanya mtoto mzuri amu aweweseke maana leoh huko aliko akiona tu SMS kwenye Airtel anaicheck akijua engineer kaamua kujikakamua anakuta ni SMS za wale waganga... Ahahaha!

Wewe injinia mjambaji unamsumbua mtoto mzuri kama amu kwa fake promise utafikiri hata unafikia hadhi yake.

[emoji95] [emoji95] [emoji88]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…