Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kuna tofauti kubwa kati ya kukremu na kuelewa somo. Usipoelewa lazima ukremu, ukielewa haina haja ya kukremu maana ni kusahau si rahis.Washazoea kukremu sasa maisha hayana kukariri wala rehearsal!!
Hapana nipe nondo Mh....Hongera ya nini mkubwa, naangalia watu wanavyojipanga kula nyama za Mahepe hapa.
Unaijua ngoma ya Mahepe wewe?
Kama vile wewe ambavyo unafurahia kuamini Mungu hayupo na ukiendelea kummock in whichever ways na Mimi nafurahia kumtania mtani wangu Kwa ishu za depression and suicide.Huwa sina kawaida ya kufurahia maanguko ya wengine na kufanya utani kwenye habari za depression na suicide.
Schadenfreude is not my thing.
Hapana nipe nondo Mh....
Mh hawa watu wanajuana lakin....Ngoma fulani hivi ya wachawi/ wanga, wenyewe wanaimba
"Cheketu cheketu, mahepeee
Nyama ya mutu, mutamuuuuu
Kasoro kidole cha mwishooo"
Ukikaa kaa na wazee wazee wa Kizaramo wanaojua habari za Wazaramo ukiwauliza ngoma ya mahepe wanaweza kukutajia.
Sasa hata hapa naona kuna watu wanachekelea depression na suicide za watu wengine kama wanga na wachawi wanaocheza ngomaza mahepe.
Yani mtu kupata kuwa T.O halafu akapata maisha mabaya baadaye badala ya kuwa kitu cha kusikitika, watu wanafurahia na kuchekelea.
Ndiyo maana hatuendelei.
Alivyokuwana na akili ndogo huyu engineer anasoma huko aliko anajua umemnadi yeye kumbe...! Common sense ndio akili ya kwanza ya mwanadamu ila hawa maengineer huwa hawana hii akili.Kiranga relax,hawa watu wanajuana na injinia anazingua tu humu ila yuko vizuri sana kumpita Humble African tatizo mleta mada kasoma HKL ha ha ha ha ha
we jamaa bana kwa mbwembwe...Huwa sina kawaida ya kufurahia maanguko ya wengine na kufanya utani kwenye habari za depression na suicide.
Schadenfreude is not my thing.
Hivi kwanini huyu mzee hajui kama sisi tunajuana since way back? Au na yeye yuko depressed and suicidal baada ya kumkorofisha Mungu? [emoji23] [emoji23]Mh hawa watu wanajuana lakin....
Ah ah ah ah Nimecheka sana aitheeewe jamaa bana kwa mbwembwe...
hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.
lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Huu sasa utan wa ngum..... : π π πHivi kwanini huyu mzee hajui kama sisi tunajuana since way back? Au na yeye yuko depressed and suicidal baada ya kumkorofisha Mungu? [emoji23] [emoji23]
Twakusikilizavijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.
huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.
sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.
kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
Ahahaha!! Kadoda nimecheka sana mkuu kwa haya maoni yako. Licha ya maandishi yangu kuwa na mapungufu Lakini yamefanikiwa kuonyesha kitu kuhusu watu wa Kariba yake.we jamaa bana kwa mbwembwe...
hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.
lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Yani hapa tu ushasumbuka mara?Kama vile wewe ambavyo unafurahia kuamini Mungu hayupo na ukiendelea kummock in whichever ways na Mimi nafurahia kumtania mtani wangu Kwa ishu za depression and suicide.
So stick kwenye lane yako ya upagani niache kwenye lane yangu.
Matter of fact, umeambiwa sisi tuna ishu zetu za kutaniana since way back wewe unataka kununua ugomvi... Au na wewe ni engineer? Aliekuwa T.O? Mnasumbua sana nyie.
Nyayo...Wakati nipo Mzumbe kuna T.O kutoka mbeya alikuwa halali yule jamaa. Sasa hivi yupo New York anaendelea na masomo ya elimu ya juu.
Mimi nimerelax by defaul, genetically.Kiranga relax,hawa watu wanajuana na injinia anazingua tu humu ila yuko vizuri sana kumpita Humble African tatizo mleta mada kasoma HKL ha ha ha ha ha