Sababu za Marrian Girls ya Bagamoyo Kung'aa!.

.... Wachukue waliofeli ambao chance ya kugaragara kwene NECTA ni kubwa na wazazi mwishoe wakose imani na shule? Is that what u want?
Ndio. Hiyo ndio ndoto yangu. Kama wakiweza kuwafundisha 'wajinga' hao na kuwasaidia wafaulu hiyo necta, huoni kuwa itakuwa ni jambo jema zaidi?....kuliko kuchukuwa ambao tayari 'wanajiweza' ambao hata wakienda shule nyingine bado wanaweza kufanya vizuri.

Naelewa perspective yako kuwa shule kwa sasa ni biashara zaidi na mmiliki/mfanya biashara anayo haki ya kufanya lolote ili kuongeza faida ili muradi havunji sheria.
 
G'luck with that bro.
Many have tried to save the world before...
 
Kweli kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.....

Shule kama Marian, Kifungilo, Mary Goreth wala husikii redioni wahi sasa nafasi ni chache! Watu wanawahi wenyewe juu kwa juu

Kuhusu kudahiliwa, ni jambo la kawaida kabisa wale wanastandards zao na passmarks zao, they know how many they can or can't take

Nakumbuka Arusha School ya enzi zetu ilikuwa ni moja ya shule yenye kutoa wanafunzi makini sana, sasa hivi sifa imeshuka sana
 
Ni hatua tu ya kuwachuja watu kwa sababu nafasi ni chache, wangeweza kueka criterion nyingine, lakini ya kuwapa mtihani wa darasani naona iko njema zaidi na haina longolongo.
sasa hiyo criterion ya mtihani si inawapa nafasi wale tu wenye akili? Unless kama unaniambia baada ya huo mtihani watachukua 150 ambao hawakufaulu?
 
mhhhh mi nimekutana nao kadhaa, lakini kikubwa wanachojua ni kiingereza tu
Kwenye mambo mengine wanatolewa knock out.
Ni wataalam wazuri wa ku-disco
Fanya utafiti utaona
 

kaka wewe mwalimu nini wa marian???........umeshawai kusikia ilboru,mzumbe,makongo,azania na st antony zikijitangaza??.......hapa point ni ileile kama kweli wanatoa elimu bora wachukue vilaza wawafundushe wakiwatoa ndo tutasema kweli ile shule kama kufahuru wanafahuru ilboru,aza,benja na mishule mingi tu msilete thread za kuadvertise shule.
 

mkuu hyo benjamin unayoitaja kuwa wanafaulu, una uhakika unachozungumza au? Wana zero mia na ushee, katka shule za serìkal zilizopo mjiní benjamìn inaongoza kwa kuproduce zero.
 
Hzo mbwembwe 2 mkuu,mwaka huu nawajua 9 walioko vyuo mbalimbali hapa tz wamedisco.
Ku'disco' siyo lazima iwe kwamba mwanafunzi hamnazo. Inaweza kuwa imesababishwa pia na mazingira ya uchakachuaji. Mfano, mwanafunzi aliyezoe kujisomea vizuri na kufaulu akienda shule au chuo ambacho ushindi unategemea kuibia mitihani au kuhonga walimu anaweza kufeli. Shule nzuri zote zina marking scheme inayoeleweka mtu anapojibu swali. Lakini hizi za kuchakachua unakuta mtu anapewa maksi mfano 67.6% bila maelezo yoyote kipi kinatakiwa na kipi hakikutakiwa. Au unakuta mwanafunzi mwingine amejitahidi kujibu vizuri swali halafu anapewa maksi 39.1% bila maelezo. Siamini sana mfumo wa usahihishaji kwenye shule nyingi au vyuo vingi hapa Tanzania!
 


Wewe una chuki zako binafsi na marian , nadhani dada yako alikosa Marian ndio maana unaikandia. A Rose flower will smell Rosier whatsoever name you call it. Marian juu, juu zaidi.
 

We kuwa analytical, huwezi kuiba mitihani miaka 10 mfululizo. sema realities. Huo ni wivu wa marian. acha roho ikuume
 


Kwa mtazamo wako, hata seminary ambazo zinafanya vizuri from time immemorial nazo wanadisco? Sasa hata marian Boys, Canosa nao wameiba mitihani? hata Kifungiro , Mazinde , Rosmini wanaiba? Nao wanadisco. Kuwa realistic, acha wivu mkazanie mdogo wako aje pale asome sana
 
mkuu hyo benjamin unayoitaja kuwa wanafaulu, una uhakika unachozungumza au? Wana zero mia na ushee, katka shule za serìkal zilizopo mjiní benjamìn inaongoza kwa kuproduce zero.

acha kuandika ugoro hapa kaka mimi nimesoma benja kwahiyo naijua vizuri....kwa taarifa tu mwaka huu imetoa TO kwa upande wa wasichana na hizo zero ni kwa sababu idadi ya wanafunzi ni wengi,mfano huwezi kufananisha shule yenye watahiniwa 3000 na shule yenye watahiniwa 106 utakuwa hauna kichwa ila utakuwa na papai.....ukitaka usawa chukua idadi exactly ya wanafunzi tena from top halafu ulinganishe na hizo shule zenu kama marian.
 

Hapa nakuunga mkono, chuo kikuu bidii binafsi ya kusoma ndio inamtoa mtu bila kujali ametoka st. marian au gezaulole. Japokuwa lazima pia tukubali kwamba sio wote wanaotoka st. wanafanya vizuri au vibaya wakifika chuo. Mazingira na jinsi mtoto anavyoandaliwa katika kukabiliana na changamoto za maisha nayo inasaidia. Kwa hili wale waliosoma shule za msoto wanakuwa na bidii zaidi wakifika chuo, kwa hiyo inawasidia kufanya vizuri. Binafsi nilipata Div. II O' level (Shule za huko vijijini, mikoani), Div. III A' level. University nikapata Upper Second Class. Nina ushahidi wa mwanafunzi niliyekuwa naye darasa moja O LEVEL alipata point 9, A level akapata point 13. University akapata GPA 4.5 (course ya sayansi). Ukioanisha matokeo haya hupati ulinganifu, lakini ndio hali halisii
 
We kuwa analytical, huwezi kuiba mitihani miaka 10 mfululizo. sema realities. Huo ni wivu wa marian. acha roho ikuume

swala la wizi wa mitihani sio miaka kumi tu kaka mbona kitambo sana kwa hii mishule ya private na hiyo ya seminary shule ni govt ndo hazina hayo mambo ya ajabu tunasoma tunaelewa tunajibu mitihani na tunafahulu na tunaunganisha vyuo govt na wengine scholarship so kataa ila wizi unafanyika na kwanini huwa hawapendi kufanya mitihani kwenye centers mbalimbali???
 

jibu swali,acha kuzunguka mbuyu haujaulizwa huko shule za govt huwa mnafanya nini??kakuuliza miaka yote hiyo zaidi ya kumi ambayo marian inaongoza walikuwa wanaiba mitihani??
 
mngekuwa na statistical data to back up your claim,wanaongoza kusupp/kudisco mlimani ni wanaotoka marian na shule za kikatoliki tungewaelewa,kwa sasa hivi mnaongelea hisia tu na inferiority complex zenu ndio zinawasumbua si kweli kuwa wanafunzi wa hizo shule hawaandaliwi kucope na modern world at univeristy......infact tunaona madkatari kibao na wengine wako successful katika profffesion nyingine kutoka hizo shule...hao mamilion wanaogombea watoto wao kuingia ktk hio shule are not stupid as some of you want us to believe.
 

watanzania utawaweza ww?? kila m2 atadai chake lakn ndo ivo evertym Dr. Ndalichako anatangaza Marian yaibuka kidedea upande wa o-level or a-level at the end of the dei... mto thread kachambua vema kabisa jinsi gan hawa Marian wanavoweza ku-maintain performance lakin wabongo wanakuja na hoja za kuiba mitihan... Marian wako juu sana bas tu mfumo wa elimu hapa bongo kuanzia sekondar had vyuoni ni mbovu that's why mambo yanabadilika kwa mwanafunzi yoyote.. uyo anekandia et wanajua kingereza2 yeye kwann akijui??
 

Sijui kama nimekusoma vyema, ila kiufupi thread yako haina main theme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…