Ili chadema iendelee kusomeka kwenye lamani ya siasa za Tanzania,ni lazima waende na Lissu wakichagua mwingine hapo ndio watakuwa wamejichimbia kabri lao wenyewe.
Lisu wafuasi wake wengi ni malofa wa mitandaoni ambao wala hawako kwenye vikao vya maamuzi vya kuamua nani awe mgombea!!!!!! uwanjani wenye wafuasi wengi wa kwanza ni Mbowe ana mtandao wa wachaga nchi nzima wenye pesa na ushawishi kwenye maeneo yao walipo yawe mabaa wanayomiliki nk
Mbowe akienda popote hakosi mapokezi kuna timu za wachaga za kumpokea na magari na honi bila kulipa hata mia.Mtandao wa Mbowe ndio Lowasa aliutumia kujaza ule umati maviwanjani walitoa mabasi bure kusafirisha watu,boda boda kuwajazia mafuta nk
Lisu network hana tegemeo lake kudandia network ya mbowe
Nyalandu pesa ipo na anaiva vizuri na Mbowe .Ni watu wenye uwezo wanaoweza ongea Lugha inayofanana na wako club moja ya elites wenye nazo ndani ya Chadema.Nyalandu Ana uwezo wa kurusha helikopta nchi nzima kwa pesa zake akajaza mafuta mabasi ya kubeba watu na bodaboda
Mbowe na Nyalandu mmojawapo lazima achukue ugombea uraisi .Na yeyote akichukua kati yao wala hawana shida wataungana mkono sababu wote ni Chadema club of the elites.Tundu Lisu na wengine ni out of the equation
Tundu Lisu ajiandae tu kisaikolojia .Sema na ujeuri wake umechangia.Akina Mbowe walimuambia arudi nchini awe karibu na wanachama yeye akatoa sharti kuwa atarudi kwa sharti moja kuwa chadema wamteue kwanza kuwa mgombea uraisi ndio arudi.!!
Mbowe na team yake wakaona Lisu anajifanya kuwashinikiza kama nani? ndio wakafungulia mlango kuwa kila anayetaka kugombea achukue form na wao wakachukua kumwonyesha Lisu wazi kuwa ana ji over estimate he is nobody ndani ya CHadema he is like anybody!!!
Lisu Ajiandae tu kutimukia ACT wazalendo akagombee aambulie vikura vichache vya Zanzibar ambako Act wazalendo walau ipo huku bara hataambulia kitu mitandao ya Mbowe itampa kura Mbowe au Nyalandu na hivyo kumfanya LISU abaki tu katoa mimacho kwenye miwani bila ushindi wowote!!